Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Nchi za ulaya yale maendeleo na elimu walizokua ulipatikana kwa njia kama hizi miaka 100 iliyopita huko,sasa hivi vizazi vyao vinakula faida ya ile roho mbaya ya babu zaoHuyu ndiye anayeonekana kanisani mara kwa mara, leo anataka watu wauliwe?!
Soma kwanza nilichoandika usilete uchawa,Nchi za ulaya yale maendeleo na elimu walizokua ulipatikana kwa njia kama hizi miaka 100 iliyopita huko,sasa hivi vizazi vyao vinakula faida ya ile roho mbaya ya babu zao
Kwakuwa anaenda kanisani mara kwa mara ndio atetee maovu!? Mm ninavyojua mtu unapoenda kanisani unajiweka karbu na Allah na kupinga maovu, hapo anapinga maovu kwhyo ypo sahihi.Huyu ndiye anayeonekana kanisani mara kwa mara, leo anataka watu wauliwe?!
Kwakuwa anaenda kanisani mara kwa mara ndio atetee maovu!? Mm ninavyojua mtu unapoenda kanisani unajiweka karbu na Allah na kupinga maovu, hapo anapinga maovu kwhyo ypo sahihi.
Yupo sahihi kusema watu wauawe
Hata km wakiuawa Kwan wanauawa kwa kuonewa!?Yupo sahihi kusema watu wauawe au sijakuelewa?
Akipatikana mwizi wa hayo mafuta wamchukue mpaka kwake wampe amnyweshe tuone kama atafanya hivyoKaziKweliKweli
Huyu jamaa akili zake anazijua yeye mwenyewe!Mkuu wa mkoa wa dar es salaam ataka wezi wa mafuta ya transfoma wanyeshwe mafuga yake hadi wafe.
---
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amesema kuwa wizi wa transfoma' za umeme unafanywa na vijana ambao wanafahamu kazi zake, kwani hakuna anayeweza kuziiba akiwa hajui namna ya kuzitumia, hivyo Tanesco waangalie miongoni mwao nani anafanya hivyo.
Chalamila ameyasema hayo leo Februari 19, 2024 alipoanza ziara ya kimkoa eneo la Charambe wilayani Temeke ambapo kuna kituo cha kusambazia umeme kwa maeneo yote ya Mbagala.
Hapana mkuu.Huyu jamaa akili zake anazijua yeye mwenyewe!