Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 2,268
- 7,119
Huyu kiazi anadhani kila gari ni inaweza kuwa ambulance.Unatoa maamuzi ya kisiasa ili kufurahisha watu wa Muganza.
Vx ambalo halina kitanda cha mgonjwa litabeba wagonjwa.?
Acha hadaa na siasa za kishamba.
Ulipaswa kutumia busara na kuagiza gari la wagonjwa liwekewe matairi na kutoa huduma stahiki.
Viti vya kati vinafunguliwa kitanda kinawekwa, we ni mshamba huelewi chochote, hapo somo ni wakurugenzi waache uzembeUnatoa maamuzi ya kisiasa ili kufurahisha watu wa Muganza.
Vx ambalo halina kitanda cha mgonjwa litabeba wagonjwa.?
Acha hadaa na siasa za kishamba.
Ulipaswa kutumia busara na kuagiza gari la wagonjwa liwekewe matairi na kutoa huduma stahiki.
Imenikumbusha yule kijana Tigo aliyekataa Udc wa Uncle MaguSerikalini watu wanafanya kazi kishamba sana, mihemko sana, zimamoto sana.
Hakuna order huko serikalini, kuna jamaa alikuwa private akapata serikalini, anasema yaani kama umezoea kufanya mambo kwa ratiba utakoma, maana DC au Mkurugenzi anaweza kuamua kitu leo, kifanyiwe kazi leo, kitumwe leo. Kitu chenyewe kinahitaji kukusanya takwimu kwa siku kadhaa. Hakuna order serikalini.
Akili za wana CCM ndivyo zilivyo.Unatoa maamuzi ya kisiasa ili kufurahisha watu wa Muganza.
Vx ambalo halina kitanda cha mgonjwa litabeba wagonjwa.?
Acha hadaa na siasa za kishamba.
Ulipaswa kutumia busara na kuagiza gari la wagonjwa liwekewe matairi na kutoa huduma stahiki.
tuliza mihemko bas gentleman na itapendeza zaidi 🐒Unatoa maamuzi ya kisiasa ili kufurahisha watu wa Muganza.
Vx ambalo halina kitanda cha mgonjwa litabeba wagonjwa.?
Acha hadaa na siasa za kishamba.
Ulipaswa kutumia busara na kuagiza gari la wagonjwa liwekewe matairi na kutoa huduma stahiki.