Mkuu wa Mkoa na Mkuu wa Wilaya ni nafasi za Wazee, hawa Vijana wanazivamia tu

Mkuu wa Mkoa na Mkuu wa Wilaya ni nafasi za Wazee, hawa Vijana wanazivamia tu

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Hata ukiangalia nature yake na hasa ile nafasi ya Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama utagundua hizi siyo nafasi za Vijana.

Vijana sehemu zao ni RAS, DAS, DED, WEO, VEO na vyeo vingine vya Ushindani mbali ya Hivi vya Mseleleko.

Waangalie Makonda, Gambo, Happi Mnyeti, Ole Sabaya, Kasesela nk walivyovurunda.

Halafu mwangalie Albert Mnali alivyonyoosha Awamu ya 4.

Niishie hapo.
 
Back
Top Bottom