Hata ukiangalia nature yake na hasa ile nafasi ya Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama utagundua hizi siyo nafasi za Vijana.
Vijana sehemu zao ni RAS, DAS, DED, WEO, VEO na vyeo vingine vya Ushindani mbali ya Hivi vya Mseleleko.
Waangalie Makonda, Gambo, Happi Mnyeti, Ole Sabaya, Kasesela nk walivyovurunda.
Halafu mwangalie Albert Mnali alivyonyoosha Awamu ya 4.
Niishie hapo.