Mh. Mkuu wa Mkoa Shinyanga Dr. Sengati juhudi zako zakuinusulu shule ya BULUBA SEKONDARY zinahujumiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya SHIRECU (1984) Bwana KWIYOLECHA NKILIJIWA
Tarehe 19.08. 2021 Mh. Mkuu wa Mkoa ulifika Shuleni BULUBA SEKONDARY ukawasikiliza wafanyakazi wote na wakakueleza matatizo yao ya kuturipwa mishahara ya miezi zaidi ya kumi na saba (17). Ukaagiza TAKUKURU Kuchunguza na kuchukua hatua kwa wote wanaohusika katika wizi wa fedha za SHULE.
Chakushangaza, Mwenyekiti wa Bodi ya SHIRECU na Bodi yake wameamua kuwafukuza kazi walimu wote walioongea Mbele yako Mh. Mkuu wa Mkoa, walimu hawa wanatuhumiwa kwamba nani aliwapa idhini ya kueleza matatizo ya kutolipwa Mishahara ya miezi 17? "Mwenyekiti wa SHIRECU ameapa tunawafukuza tuone kama Huyo MKUU WA MKOA atawajiri"
Kaimu Meneja wa Utumishi Bi. ASNATH ameanza taratibu za kutekeleza agizo hilo la kuwafukuza kazi WALIMU HAWA:
KASHINJE MUNGO- Makamu mkuu wa Shule,
ALEXANDER YEGELA- Mkuu wa Shule
ROBERT CHARLES
PETER PIUS Mwalimu wa Taaluma msaidizi
JILANGA MASUNGA
VERONIKA LUTAMBI
LAURENCE MHILIMA- Mwandamizi taaluma
Walimu hawa ndio waliongea mbele ya Mh. Mkuu wa mkoa, Dr. sengati.
Bwana KWIYOLECHA NKILIJIWA - Mwenyekiti wa Bodi ya SHIRECU walipe walimu na wafanyakazi wote wa SHULE YA BULUBA, Mliwafukuza walimu wengi mwaka 2018 mpaka sasa hamjawalipa unataka kutengeneza madeni mengine kinyume cha sheria
KWIYOLECHA NKILIJIWA - Mwenyekiti wa Bodi ya SHIRECU acha kupambana na kuhujumu serikali. Mh Mkuu wa mkoa Bodi ya SHIRECU inaayoongozwa na bwana KWIYOLECHA NKILIJIWA haina afya kwa maendeleo ya Usirika Shinyanga, nivizuri wakaangaliwa kwa jicho la tatu.