Hivi mna uhakika hawa viongozi wanaoteuliwa na Rais huwa wanafanyiwa vetting kweli kabla ya kupewa vyeo?
Wakati nazunguka leo mtandaoni nimekutana na clip ya Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Kenani Kihongosi ambaye ni kama alikuwa anatishia wananchi kushiriki katika zoezi la kulinda kura.
Kihongosi amewataka wananchi wa Simiyu kurejea nyumbani mara tu baada ya kupiga kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27, 2024.
Amesema kuwa jukumu la kulinda kura ni la mamlaka husika, hivyo wapiga kura wanapaswa kumaliza zoezi hilo na kurudi majumbani mwao.
"Na ukishapiga kura rudi nyumbani. Kuna watu wanawaambia watu wanaenda kulinda kura. Na sisi tunasubiri hao walinzi wa kura watuambie hiyo kazi wamepewa na nani. We piga kura kalale. Suala la Uchaguzi achia mamlaka za uchaguzi."

Duniani hakuna viongozi wa upinzani wapumbavu kama tulio nao Tanzania.
Yaani chama kama Chadema kilichokuwa na dalili zote za kushinda uchaguzi mwaka 2015 chini ya Lowasa leo miaka 10 bado hakina mkakati na uwezo wa kudhibiti uchaguzi wa mitaani nchi nzima .
Wanabaki kubwa sana kwenye miji badala ya kupeleka Ruzuku vijijini kwa boda boda na vijana wawadhibiti wapuuzi wanaoharibu uchaguzi kila sehemu kwa kuhakikisha uchaguzi haufanyiki Inye mvua liwake jua
Siku hiyo iwe ni kila sehemu nchi nzima panarindima vibibi na vibabu vinajifungia ndani.
Polisi walienda vijijini walipiga bomu moja tu wananchi wote wanakimbilia porini kujificha na hakuna wa kupanga foleni kupiga kura.
Nilikua nawadikiliza viongozi wapumbavu wa Upinzani wakisema eti tupambane tupate katiba mpya. Maviza kabisa !! Yaani washindwe kudhibi uchaguzi wa mitaani usio hata na polisi wenye silaha zaidi ya migambo wataweza kupigania katiba inayotegemea watawala jeuri wasiojali na wenye kulinda madraka yao na mali zao kwa ufadhili wa matajiri na wawekezaji mamafya kutoka Uarabuni. Yaani upiganie katiba itakayomzuia Dr. Samia kuwagawia marafiki zake ardhi ya Tanganyika wakati umeshindwa kumdhibiti mtendaji asiye hata na mlinzi nyumbani kwake. Blalifuli!!!
Wapinzani wanakosea kumtegemea mbowe na Zito Kabwe kuleta mabadiliko . Hawa wetu wanashindana kulimbikiza mali na kuwaza umaarufu sio mabadiliko ya maisha ya watanzania .
Mbowe, Lipumba, Zito, Cheyo , Rungwe, Dr.Samia wote hawana uwezo tena wa kuleta mabadiliko chanya kwenye vyama vyao na nchi . Wameshakata tamaa. Ndio maana hawataki ushindani zaidi ya kutumia machawa kudanganya umma kuwa wapo kwa ajili ya maslahi ya nchi