Mkuu wa mkoa Tanzania atembeza viboko kwa wanafunzi, haya mambo hunkumbusha Kenya ya zamani sana

Mkuu wa mkoa Tanzania atembeza viboko kwa wanafunzi, haya mambo hunkumbusha Kenya ya zamani sana

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Miaka ishirini nyuma Kenya ilikua hivi, yaani kila mkuu alikua na uwezo wa kuibuka na vituko vyake, huyu hivi yule vile

Miaka ishirini nyuma Kenya ilikua hivi, yaani kila mkuu alikua na uwezo wa kuibuka na vituko vyake, huyu hivi yule vile

Kuchoma moto shule ujui unaweza kuuwa wanafunzi wenzako je moto ungeua wanafunzi 200 ungefurahi
 
Wazungu na sera za brainwashed wametuweza Sana Africa tukasahau vya kwetu tukafuata ya kwao

Leo usipo mpa pesa mwana mke humpend usipo mbusu humpendi,akiona kitu kwa mwenzie akikuomba usipo mpa humpend yote haya brainwashed

Leo chalamila kuwatia stik vijana imekuwa gumzo Sana mitaan yeye Ni mzazi pia

Mbona enz zetu usipompokea mzee mzgo wake au kumsalimia au kutukana tulipata stick za kutosha na akienda kusema kwenu ding lao ana wew Tena

"Tulipotoka na tulipo siko na kurud tulipo toka tumeshachelewa"

Wacha tupangiwe na weupe maisha yao yawe yetu
 
Hamna cha wazungu wala nini, Waafrika tumekua na huu ujinga sana wa kulaumu wazungu kwa kila upumbavu wetu, hata hizo enzi za mababu zetu mwanamke asingekupenda kama wewe mzembe usiyeleta chochote nyumbani, ndivyo mwanamke ameumbwa tangu enzi za mitume.
Vijana wazembe mnataka mvae mlegezo na kulala kwenye kochi kila siku kisha mpendwe na wanawake, tia bidii, tengenza hela, hakuna mwanamke asiyependa stability, ukimwoa akuzalie watoto atahitaji wahakikishiwe vitu vya msingi kama elimu, chakula, mavazi, nyumba n.k.
Halafu hili la kuwapiga watoto siliungi mkono, haswa kama hawa waliofikisha umri wa kubaelehe, mimi hapa ni mzazi na nawalea wanangu bila kipodo, na wako poa tu hamna mibangi bangi wala vituko, tunaendana freshi, pakiwa na matatizo tunawekana sawa. Sio kwamba naiga wazungu, ni maamuzi yangu ya vipi nitaendesha familia yangu.

Ukifuata sana watemi au bullies shuleni, hao ambao hutia mashule viberiti utakuta wamekua abused somehow na wazazi wao, kwamba tangu akiwa mdogo amekua akitembezwa kichapo mpaka hapo alipo. Tazama hiyo video uone kama kuna chochote huyo mkuu wa mkoa anakifanya, yaani anawacharaza ila hata hawatikisiki, wamezoea na wanaona kama anawatekenya vile.
 
Hahaa! [emoji1] Hilo si ni jukumu la walimu? Alafu walimu wasipoweza kutimiza wajibu wao si kuna zile shule special za 'Approved'. Ama Tz hamna vitu kama hivyo? Kenya mwanafunzi akifanya vitu vya ajabu ajabu kama hivyo huwa unatupwa selo, kisha anafikishwa mbele ya hakimu ambaye huwa anashughulika na masuala kama hayo. Alafu baada ya hapo mwanafunzi anakuwa 'warden of the state', sio wa wazazi wake tena. Zile approved schools ni kama jela kiaina, ukiingia humo baada ya muda unatoka ukiwa umenyooka kweli kweli.
 
Wanahukumiwa miaka ya kutosha jela muda sio mrefu, kuchapwa viboko vi3 kitu gani?
 
Back
Top Bottom