Elias Manyasi Member Joined Mar 19, 2015 Posts 9 Reaction score 18 Mar 30, 2021 #61 Yajayo yanafurahisha! Wanajisogeza taratibu kuendana na upepo!
Kete Ngumu JF-Expert Member Joined Nov 21, 2014 Posts 6,656 Reaction score 6,886 Mar 30, 2021 #62 Erythrocyte said: Bado haijafahamika kisa cha Mh Chalamila kuanza kujieleza kwa kiwango kikubwa kiasi hiki , huku akiwa hajaulizwa na mtu yeyote . View attachment 1738620 Je anasukumwa na hofu ya upepo mpya unaovuma ? Click to expand... Pasi na shaka
Erythrocyte said: Bado haijafahamika kisa cha Mh Chalamila kuanza kujieleza kwa kiwango kikubwa kiasi hiki , huku akiwa hajaulizwa na mtu yeyote . View attachment 1738620 Je anasukumwa na hofu ya upepo mpya unaovuma ? Click to expand... Pasi na shaka
ram JF-Expert Member Joined Oct 5, 2007 Posts 9,326 Reaction score 8,505 Mar 30, 2021 #63 Gebreyesus said: Heri James tayari Albert chalamila tayari Who's next ? Click to expand... Yule wa Hai sijui sabaya jina lake silijui vizuri
Gebreyesus said: Heri James tayari Albert chalamila tayari Who's next ? Click to expand... Yule wa Hai sijui sabaya jina lake silijui vizuri
Mzee23 JF-Expert Member Joined Oct 9, 2014 Posts 1,731 Reaction score 3,628 Mar 30, 2021 #64 johnthebaptist said: Sijui kwanini watu wanapagawa! Click to expand... Kwasababu wamepatwa na TASHWISHWI! kujikuta Enzi wasiyoitarajia
johnthebaptist said: Sijui kwanini watu wanapagawa! Click to expand... Kwasababu wamepatwa na TASHWISHWI! kujikuta Enzi wasiyoitarajia
G Gellangi JF-Expert Member Joined Apr 11, 2016 Posts 2,782 Reaction score 3,018 Mar 31, 2021 #65 FUSO said: Huyu jama fix sana, eti aliongea na Rais Magufuli akamwambia yupo imara na anachapa kazi two days before utangazwe msiba wake. Kweli duniani kuna watu.......... Click to expand... Na viatu.
FUSO said: Huyu jama fix sana, eti aliongea na Rais Magufuli akamwambia yupo imara na anachapa kazi two days before utangazwe msiba wake. Kweli duniani kuna watu.......... Click to expand... Na viatu.
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Jun 11, 2021 Thread starter #66 ππππ