#COVID19 Mkuu wa Mkoa wa Mbeya amesema Chanjo itakwenda nyumba kwa nyumba

Duuh
 
Nyumba kwa nyumba ili iweje ? Toeni elimu ya kutosha kwa jamiii husika lakin pia chanjo si lazima huo ndo msimamo wa kamati kila mtu awe huru
 
hiyo home 2 home na yeye ashiriki
asikae kwa ofisi wakati watekeleza amri wanabondwa pekeyao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…