Matulanya Mputa
JF-Expert Member
- Aug 14, 2023
- 245
- 655
Picha kama inavyojionesha kwa mkuu wa mkoa wa Mtwara leo tarehe 28.07.2024 kuonekana kavaa nguo za chama cha CCM wakati yeye ni mtumishi wa JWTZ je leo jeshi letu ni CCM au ndyo utaratibu wa kijeshi.
Mkuu wa majeshi kwa kukomesha ili mchukulieni hatua mkuu wa Mtwara kwa kuvunja kanuni za JWTZ.
Au ndymana rais Samia alizuia wasivae kombati alitaka wavae nguo za CCM?
Mkuu wa majeshi kwa kukomesha ili mchukulieni hatua mkuu wa Mtwara kwa kuvunja kanuni za JWTZ.
Au ndymana rais Samia alizuia wasivae kombati alitaka wavae nguo za CCM?