Matulanya Mputa
JF-Expert Member
- Aug 14, 2023
- 245
- 655
Mkuu wa Mkoa ni mjumbe wa kamati ya siasa ya ccm Mkoa, tunachopaswa kufanya kwa sasa ni kumtimua jeshiniPicha kama inavyojionesha kwa mkuu wa mkoa wa Mtwara leo tarehe 28.07.2024 kuonekana kavaa nguo za chama cha CCM wakati yeye ni mtumishi wa JWTZ je leo jeshi letu ni CCM au ndyo utaratibu wa kijeshi.
Mkuu wa majeshi kwa kukomesha ili mchukulieni hatua mkuu wa Mtwara kwa kuvunja kanuni za JWTZ.
Au ndymana rais Samia alizuia wasivae kombati alitaka wavae nguo za CCM?
View attachment 3055377
Hapo kavaa koti jeusi na shirt la kawaida la kijani ndani, ni ngumu kuhukumu ,ila kwa sababu yupo karibu na waliovaa typical nguo za chama ni rahisi kuhukumu.Picha kama inavyojionesha kwa mkuu wa mkoa wa Mtwara leo tarehe 28.07.2024 kuonekana kavaa nguo za chama cha CCM wakati yeye ni mtumishi wa JWTZ je leo jeshi letu ni CCM au ndyo utaratibu wa kijeshi.
Mkuu wa majeshi kwa kukomesha ili mchukulieni hatua mkuu wa Mtwara kwa kuvunja kanuni za JWTZ.
Au ndymana rais Samia alizuia wasivae kombati alitaka wavae nguo za CCM?
View attachment 3055377
Atakwambia kuwa hauna namlaka ya kumtimua Jeshini...si unajua kiburi cha mwanajeshi.Mkuu wa Mkoa ni mjumbe wa kamati ya siasa ya ccm Mkoa, tunachopaswa kufanya kwa sasa ni kumtimua jeshini
Sio Rc na Dc tu ....nafasi zote zinazohusu presidential appointee hadi ma DED ni kijaniRC na DC Mara nyingi ni makada wa vyama so mambo mengine ni kwenda nayo hivyo hivyo.
Eeh!!..Yaaani ww unashangaa mkuu wa mkoa
Huku kwetu msajili wa vyama vya siasa kachukua kadi ya ubunge ya chama tawala ili awe kwenye mchujo
Kati hili na hilo lako lipi kubwa??
Surat Al-Ma'ida (5:8):RC na DC Mara nyingi ni makada wa vyama so mambo mengine ni kwenda nayo hivyo hivyo.
Kumbe wengi hawajui hiyo kitu ??!RC na DC Mara nyingi ni makada wa vyama so mambo mengine ni kwenda nayo hivyo hivyo.
Hatari sanaYaaani ww unashangaa mkuu wa mkoa
Huku kwetu msajili wa vyama vya siasa kachukua kadi ya ubunge ya chama tawala ili awe kwenye mchujo
Kati hili na hilo lako lipi kubwa??
Hizo zilikuwa enzi za chama kimoja sio Sasa.Jeshini kuna kitengo cha siasa, huyo alitokea kwenye kitengo hicho ajabu hapo ni nini?
Surat Al-Ma'ida (5:8):
- "Enyi mlioamini! Kuweni wenye kusimamia uadilifu kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, mkishuhudia kwa uadilifu. Wala chuki za watu zisiwafanye mkose uadilifu. Fanyeni uadilifu, hiyo ndiyo iliyo karibu zaidi na uchamungu. Na mcheni Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye khabari za mnavyo vitenda."
Formula ni moja tu ukijiunga nao lazima umwage 🧠 🧠Picha kama inavyojionesha kwa mkuu wa mkoa wa Mtwara leo tarehe 28.07.2024 kuonekana kavaa nguo za chama cha CCM wakati yeye ni mtumishi wa JWTZ je leo jeshi letu ni CCM au ndyo utaratibu wa kijeshi.
Mkuu wa majeshi kwa kukomesha ili mchukulieni hatua mkuu wa Mtwara kwa kuvunja kanuni za JWTZ.
Au ndymana rais Samia alizuia wasivae kombati alitaka wavae nguo za CCM?
View attachment 3055377