Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma akamatwe kwa Ufisadi

Changamoto ya Tanzania Serikali ina exemption ya kodi kwenye bidhaa zake na pia Serikali haikutakiwa kununua magari kupitia Agent ndio maana unaona bei zinakua kama kanunua raia tu...
Fundi upo sahihi hapo wana Exemption ya kodi kujua uhalisia wa bei yake mpaka hesabu za kutosha...
 
Toyota SA unaipata kwa Tsh 230m ambayo ni rand 1,400,000 kama nimeigawa vizuri na chenji yake unapata Quantum mpya ya rand 734,000 kama zile za mahakama.
 
Dogo mtoa post hayuko well informed halafu anajifanya mjuaji!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…