Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma akamatwe kwa Ufisadi

Vyanzo vya uhakika vya bei ya hiyo gari vimejaa kila mahali.

Wekeni YOM hapa mjadala ufungwe!!
 
Ukute wewe unaishi kwa dada yako.
 
Nimeona andiko lao.
Wamepitia GPSA...
Hapo hakuna shida, mkoani ni wapokeaji tu, ila wanunuzi ni wakala, kama kuna malalamiko wakala ndio wanatakiwa kubeba hiyo risk.
 
Wewe zwazwa kuna exemption ya kodi kwa kuwa ni serikali haya tuwekee hesabu tuone hiyo thamani yake
Gari limenunuliwa Tanzania Kila kitu kimeshalipiwa utalinunua kwa sh. Ngapi? We kilaza unafikiri kila kitu cha serikali basi exemption ni lazima zipo taasis za serikali magari yao yamelipiwa kodi kabisa hii inatokana na kama ununuzi umefanyika wa gari moja hapa mara nyingi wananunua kwa toyota yakiwa yamelipiwa kodi ununuzi wa Bulk Magari mengi Order ya moja kwa Moja Japani ndiyo mara nyingi zinaombewa exemption wizara ya Fedha.
 
Hapo sasa ndiyo unajiona umeandika point kenge wewe???Kipindi linanunuliwa ulikuwepo farasi wew
 
Uncircumcised baboon hapo ndiyo unajiona umeandika point mbwa wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…