Mkuu wa Mkoa was Dar es Salaam tuma watu wako Mbezi Louis

Mkuu wa Mkoa was Dar es Salaam tuma watu wako Mbezi Louis

Annie X6

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2023
Posts
704
Reaction score
1,331
Tahadhali ubungo stendi ya daladala si salama.

Stend ya daladala njia ya ngazi inayounganisha stend yq juu na chini sio salama. Sio usiku mchana Wala jioni watu ni wengi sana.

Lete watu wenu wananusalama wasaidie yaani msongamano madhara makubwa yatatokea.

Wizi.
Magonjwa.
KERO.
Nktafadhalini
 
Tahadhali ubungo stend ya daladala si salama.

Stend ya daladala njia ya ngazi inayounganisha stend yq juu na chini sio salama. Sio usiku mchana Wala jioni watu ni wengi sana.

Lete watu wenu wananusalama wasaidie yaani msongamano madhara makubwa yatatokea.

Wizi.
Magonjwa.
KERO.
Nktafadhalini
Picha Video Source vipo wapi mkuu unakwama wapi umeshindwa kuchukua picha na video ukatupiamo humu na sisi wa huku Ifakara tuone ?
 
Ni kweli Pana biashara holela, na maegesho ya Magari hayajakaa sawa, ila panahitajika upangaji WA shughuli upya ila ustaarabu ni gharama sana Kwa Wana DSM, daladala zinavunja sana taratibu ila police traffic wote walishanunuliwa, wingi wao hauna msaada kabisa, Ajali ni nyingi hasa njia ya Goba kutokea Morogoroo road, Barabara za ndani stend ya daladala ni nyembamba sana, usanifu haukuzingatia wingi na muingiliano WA watu, hivyo poor design, pia hii barabara ya Morogoro inahitaji sana taa za usalama Kwa wavukaji, wanaita on request pedestrian lights control
 
Akija Mbezi asisahau kupita Lubumbashi na kwa Godi Kuna bia zake za ukuu wa mkoa. Aje mda wa usiku ili aondoke na kamchepuko. Bei ya michepuko Ni rafiki Sana kwa mifuko ya walalahoi wengi
 
Back
Top Bottom