Ni kweli Pana biashara holela, na maegesho ya Magari hayajakaa sawa, ila panahitajika upangaji WA shughuli upya ila ustaarabu ni gharama sana Kwa Wana DSM, daladala zinavunja sana taratibu ila police traffic wote walishanunuliwa, wingi wao hauna msaada kabisa, Ajali ni nyingi hasa njia ya Goba kutokea Morogoroo road, Barabara za ndani stend ya daladala ni nyembamba sana, usanifu haukuzingatia wingi na muingiliano WA watu, hivyo poor design, pia hii barabara ya Morogoro inahitaji sana taa za usalama Kwa wavukaji, wanaita on request pedestrian lights control