Mkuu wa NATO: Kuacha Urusi ishinde Ukraine itakuwa hatari kwa dunia nzima, nchi za magharibi hawatakubali kitokee

Mkuu wa NATO: Kuacha Urusi ishinde Ukraine itakuwa hatari kwa dunia nzima, nchi za magharibi hawatakubali kitokee

Messenger RNA

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2022
Posts
1,411
Reaction score
3,712
Katibu mkuu wa NATO amesema kuicha Urusi iishinde Ukraine ni hatari si kwa Ukraine tu bali kwa dunia nzima kitu ambacho NATO/magharibi haitakubali hilo litokee kamwe.

==================

A Russian win in Ukraine would be 'dangerous for the whole world', says NATO chief as he accuses Putin of an escalating war
A win for Russia in Ukraine would be "dangerous for the whole world" and the West can't let that happen, the general secretary of NATO has said.

Speaking at a joint news conference, Jens Stoltenberg said if Moscow was to take Ukraine, it would show that "aggression works and force is rewarded".

"It would be dangerous for our own security and for the whole world, so we must sustain and step up our support for Ukraine," he added.

He debunked the claim Mr Putin made in his address earlier today that Russia did not start the war, by saying the country is the "aggressor" and isn't being attacked by anybody.

Mr Stoltenberg added that Ukraine is the "victim of Russian aggression" and the West is supporting its "self-defence".

"It is President Putin who started this imperial war of conquest and it is Putin who keeps escalating the war," he said.

"He thought he could destroy Ukraine and divide us, but he underestimated the determination of Ukrainian people to defend their homeland and our unity."

He continued to say NATO sees no signs Mr Putin is preparing for peace - in fact, the leader has made it clear he is "preparing for more war" by reaching out to North Korea and Iran for help.

Mr Stoltenberg also urged Russia to reconsider its decision to suspend a nuclear treaty with the US and reiterated his concerns that China is planning to support the country with "lethal weapons".

SKY NEWS
 
Wanamuogopa China [emoji630] hakuna lingine
Wanaanza kuhaha kabla hata mchina hajatoa msaada bado

Dunia ya leo wengi wababe kasoro sisi tu na continent letu.

Vijana wengi China iliwapeleka kusoma nchi za magharibi na hata [emoji631] na wamebukua haswa na kujifunza mengi

Siwezi kushangaa hata hizo balloon [emoji324] zinarushwa kutoka hapo hapo America na Mexico na vijana wasomi wa Kichina

Ni mawazo tu na ndoto zangu hizo
 
RUSSIA akishinda vita hii marekani itaanguka sababu anachopambania marekani ni kumdhoofisha russia ili aachane na mpango wake wa kupinga sarafu ya dollar kutumika kwa malipo. Marekani hela yake inadorora na pengine mataifa mengi yataacha kutumia dola kama media of exchange
Bangi kutoka milima ya usambaa.
 
Wanamuogopa China [emoji630] hakuna lingine
Wanaanza kuhaha kabla hata mchina hajatoa msaada bado

Dunia ya leo wengi wababe kasoro sisi tu na continent letu.

Vijana wengi China iliwapeleka kusoma nchi za magharibi na hata [emoji631] na wamebukua haswa na kujifunza mengi

Siwezi kushangaa hata hizo balloon [emoji324] zinarushwa kutoka hapo hapo America na Mexico na vijana wasomi wa Kichina

Ni mawazo tu na ndoto zangu hizo

Mawazo na Ndoto za mchana??
 
Huo ni mwendo wa vita kuu ya tatu ya dunia.

Russia hataki suluhu, Ukraine na NATO nao hawataki suluhu.

How will the tug of war end??, obviously that is the beginning of the world war lll in which nukes are going to be used.

Ewe Mungu twakuomba utuepushe na msiba huo mbaya katika hii dunia yetu.
 
Mawazo na Ndoto za mchana??
Chagua unaloona lina karibu na ukweli mengine tupa au fanya tafiti kwenye mijadala huru duniani

Kuna mengi sana Dunia hii tunajifunza na kusoma na kuyaona pia
Kwa taarifa tu kuna Wachina 290,089 wanaosoma [emoji631] na hao ni wale waliotoka China achilia mbali hao waliozaliwa hapo, na bado Ulaya

Nimeshtuka ndotoni
 
Ili kubalans ungetuwekea namb ya waUSA wanaosoma china
 
Ili kubalans ungetuwekea namb ya waUSA wanaosoma china
Wapo wanaosoma China pia ila sio wengi sana

Ila wanaojifunza lugha ya Kichina ni 317,000

Na nimeweka pia wanaosoma China masomo tofauti ila Covid imechanganya sana
Screenshot_20230222_061744_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom