Mkuu wa Polisi wa Hai alishirikiana na Ole Sabaya kwenye Uhalifu, naye akamatwe haraka sana

ninacho kiona chuki na visasi vinaweza vikazidi zaidi kuliko kama wangesameheana.
msamaha huponya kuliko mapambano.
Dah yani mtu akufi&#@re then umsamehe tu 😃 Kuna watu aisee mtu akupige msumari mguuni halafu aje umsamehe tu.
 
Kama polisi mwenyewe ndiye huyu hapa kwenye hii video, atumbuliwe haraka sana ili iwe funzo kwa polisi wengine wasiojua majukumu yao wanapokuwa kazini. Huyu hana tofauti na mabaunsa waliokuwa wakiongozana na Sabaya.

Your browser is not able to display this video.


Akishatumbuliwa aunganishwe kwenye mashitaka dhidi ya jambazi Ole Sabaya na mabaunsa wake.
 
Huyu polisi aliachwa kweli?
 

Mkuu wa Polisi wa Hai alikufa kwa covid 19 mwaka jana​

 
Mzee Sirro ameshachoka na kuezeeeka sasa hivi anatafutia tu mabinti zxake wachumba at least apate Wajukuu wa kucheza nao. Yaani bora liende tu, nina appoitnment nae keshokutwa, kuna jambo nataka nikamshirikishe yule Mzee wa watu wa ki RC.
Niunganishe na binti yake mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…