Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,897
- 6,925
Possibility ya kusema Bw. Strauss-Kahn kavishwa hizo shutuma ni kubwa saaana, hizo ni propaganda za politics tu! Hata hivyo nisiende mbali saana...
:focus:
Candid S.. usiniambie ulikua hujalitambua hilo kua sisi wamama wa kiafrika moto wa kuotea mbali... ningependa kweli nijue we ni race gani ili walau nipate picha....
Angekuwa mrembo wa kimarekani ningeamini kwamba ni propaganda za kumshika koti asiendelee na kazi ya kugombea urais, lakini yule mama wa kiafrika inaingia akilini mwangu alifanya kitu hicho, kwani kwa wafaransa ni jadi yao. Wengi huenda huwafanyia hivyo lakini wakilalamika humalizana kwa kumegewa mapesa kidogo, lakini huyu mweuzi alimdharau mradi kamaliza kiu yake.