Mkuu wa shule kama huyu ni adui kwa demokrasia Tanzania

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,494
Reaction score
96,074
Hakika Tanzania kupata kuongozwa na chama cha upinzani ni kazi ngumu sana.

Msikilizeni huyu tena ni mkuu wa shule kabisa lakini anayo yaongea ni sawa na darasa la chekechea.

Alafu watu kama hawa utasikia ndiyo wasimamizi wa uchaguzi hao.

Wapinzani tuna kazi ndefu ya kufanya ili kupata nafasi ya kuliongoza taifa maana vigingi ni vingi sana.

Wapinzani pambaneni sana.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Huyu si ni mwalimu?

Si anafanya siasa kinyume kabisa na kanuni za utumishi wa umma?

Anyway. Kwa kuwa anawasifia CCM na Mwenyekiti wao, hakuna chochote kinachoweza kufanyika...!
Angepigia chaguo upinzani saivi angekuwa ashabambikiwa kesi ya uongo na yupo ndani tayari
 
Hakika Tanzania kupata kuongozwa na chama cha upinzani ni kazi ngumu sana.

Msikilizeni huyu tena ni mkuu wa shule kabisa lakini anayo yaongea ni sawa na darasa la chekechea.

Alafu watu kama hawa utasikia ndiyo wasimamizi wa uchaguzi hao.

Wapinzani tuna kazi ndefu ya kufanya ili kupata nafasi ya kuliongoza taifa maana vigingi ni vingi sana.View attachment 2848071
Huyo anafanya uchawa avizie uteuzi, maana awamu hii siri ya mafanikio ni uchawa. Inawezekana hata haamini anayoyaongea
 
Bila kujikomba nchi hii hutoboi. Huyo kesho kutwa utasikia ni mkurugenzi.
Hakika Tanzania kupata kuongozwa na chama cha upinzani ni kazi ngumu sana.

Msikilizeni huyu tena ni mkuu wa shule kabisa lakini anayo yaongea ni sawa na darasa la chekechea.

Alafu watu kama hawa utasikia ndiyo wasimamizi wa uchaguzi hao.

Wapinzani tuna kazi ndefu ya kufanya ili kupata nafasi ya kuliongoza taifa maana vigView attachment 2848071
 
Ni haki yake kama mtanzania kumchagua Samia au unataka angemchukulia fomu mbowe?
 
no wonder kigezo cha kusoma uwaalimu ni div 4. kiufupi ametumika kisiasa ila kumchangia mzee mama ni uongoo! na kama ni kweli bhasi uwaalimu ni laana kama upolisi tu
 
Hakika Tanzania kupata kuongozwa na chama cha upinzani ni kazi ngumu sana.

Msikilizeni huyu tena ni mkuu wa shule kabisa lakini anayo yaongea ni sawa na darasa la chekechea.

Alafu watu kama hawa utasikia ndiyo wasimamizi wa uchaguzi hao.

Wapinzani tuna kazi ndefu ya kufanya ili kupata nafasi ya kuliongoza taifa maana vigingi ni vingi sana.View attachment 2848071
Kama imekuuma chomoa ujambe.Hakuja mwenye pesa au cheo atakuwa upinzani
 
Hakika Tanzania kupata kuongozwa na chama cha upinzani ni kazi ngumu sana.

Msikilizeni huyu tena ni mkuu wa shule kabisa lakini anayo yaongea ni sawa na darasa la chekechea.

Alafu watu kama hawa utasikia ndiyo wasimamizi wa uchaguzi hao.

Wapinzani tuna kazi ndefu ya kufanya ili kupata nafasi ya kuliongoza taifa maana vigingi ni vingi sana.View attachment 2848071
Bado upo
 
Back
Top Bottom