Angepigia chaguo upinzani saivi angekuwa ashabambikiwa kesi ya uongo na yupo ndani tayariHuyu si ni mwalimu?
Si anafanya siasa kinyume kabisa na kanuni za utumishi wa umma?
Anyway. Kwa kuwa anawasifia CCM na Mwenyekiti wao, hakuna chochote kinachoweza kufanyika...!
Huyo anafanya uchawa avizie uteuzi, maana awamu hii siri ya mafanikio ni uchawa. Inawezekana hata haamini anayoyaongeaHakika Tanzania kupata kuongozwa na chama cha upinzani ni kazi ngumu sana.
Msikilizeni huyu tena ni mkuu wa shule kabisa lakini anayo yaongea ni sawa na darasa la chekechea.
Alafu watu kama hawa utasikia ndiyo wasimamizi wa uchaguzi hao.
Wapinzani tuna kazi ndefu ya kufanya ili kupata nafasi ya kuliongoza taifa maana vigingi ni vingi sana.View attachment 2848071
Hakika Tanzania kupata kuongozwa na chama cha upinzani ni kazi ngumu sana.
Msikilizeni huyu tena ni mkuu wa shule kabisa lakini anayo yaongea ni sawa na darasa la chekechea.
Alafu watu kama hawa utasikia ndiyo wasimamizi wa uchaguzi hao.
Wapinzani tuna kazi ndefu ya kufanya ili kupata nafasi ya kuliongoza taifa maana vigView attachment 2848071
Kama imekuuma chomoa ujambe.Hakuja mwenye pesa au cheo atakuwa upinzaniHakika Tanzania kupata kuongozwa na chama cha upinzani ni kazi ngumu sana.
Msikilizeni huyu tena ni mkuu wa shule kabisa lakini anayo yaongea ni sawa na darasa la chekechea.
Alafu watu kama hawa utasikia ndiyo wasimamizi wa uchaguzi hao.
Wapinzani tuna kazi ndefu ya kufanya ili kupata nafasi ya kuliongoza taifa maana vigingi ni vingi sana.View attachment 2848071
Bado upoHakika Tanzania kupata kuongozwa na chama cha upinzani ni kazi ngumu sana.
Msikilizeni huyu tena ni mkuu wa shule kabisa lakini anayo yaongea ni sawa na darasa la chekechea.
Alafu watu kama hawa utasikia ndiyo wasimamizi wa uchaguzi hao.
Wapinzani tuna kazi ndefu ya kufanya ili kupata nafasi ya kuliongoza taifa maana vigingi ni vingi sana.View attachment 2848071
Siyo haamini tu ,ni hajui asemalo labda akilala usiku atasitukaHuyo anafanya uchawa avizie uteuzi, maana awamu hii siri ya mafanikio ni uchawa. Inawezekana hata haamini anayoyaongea