Kwanza nichukue fursa hii kukupongeza kwa kuteuliwa kuwa mkuu wa shule wa shule ya sekondari Dunda iliyopo mjini Bagamoyo.Ila changamoto kubwa uliyonayo mbeleni katika uongozi wa shule ya sekondari Dunda ni utovu wa nidhamu wa hali ya juu wa wanafunzi.Utoro sugu ni mojawapo ya utovu wa nidhamu wa wanafunzi wa hiyo shule.Ajabu kuna baadhi ya wanafunzi wa kike wanadiriki kuishi na wanaume huku wakikacha shule,baadhi yao wamekuwa wanafanya biashara ya kuuza miili katika Night Club iitwayo Rusona iliyopo Millenium Hotel,cha kustaajabisha hivi huyu mkurugenzi wa Bagamoyo mh.Samwel Sakanga anafanya kazi gani?
Serikali iko wapi?sheria gani inaruhusu wanafunzi kuingia katika Night Club wakivaa nusu uchi wakiuza miili yao?Utafiti wangu umeonesha wanafunzi hawa wanatoka shule mbalimbali za sekondari za Bagamoyo,ila wengi wao wa Dunda.Mkuu mpya kuna baadhi ya wanafunzi wa kiume wamekuwa wanajishughulisha na kazi ya kuendesha bodaboda baada ya kwenda shule,kuna huyu mwanafunzi anaitwa Clay Matumbo wa kidato cha tatu amekacha shule anaendesha bodaboda.Hivi DEO anafanya kazi gani?Mkuu wa Trafiki wa Wilaya ya Bagamoyo anafanya kazi gani?Wanafunzi wengi hawaendi shule wanaendesha bodaboda,hasa wa shule ya sekondari Dunda je serikali imelala?...au mpaka mh.Rais aingilie kati?.
Mkuu mpya wa Dunda sekondari ndugu Deodata Mkwera umejipanga vipi kukabiliana na changamoto ya utovu wa nidhamu wa wanafunzi?...Usikamie walimu wasiowajibika wakati kutowajibika kwao kunachangiwa na nidhamu mbovu na iliyooza ya baadhi ya wanafunzi wa Dunda sekondari. Kwani nidhamu mbovu ya wanafunzi wa Dunda kumechangia kwa kiasi kikubwa kwa walimu kupunguza molari ya kazi.