Mkuu wa shule ya Rwamishenye ni kirusi cha michezo Bukoba

Mkuu wa shule ya Rwamishenye ni kirusi cha michezo Bukoba

Joined
Feb 8, 2012
Posts
92
Reaction score
9
Huyu mkuu wa shule ya sekondari Rwamishenye amekuwa kikwazo cha maendeleo ya michezo kwa wanafunzi hapa Kagera.Mfano mzuri mwaka huu kwa makusudi amezuia shule yake kushiriki mashindano ya UMISSETA.Amekuwa mkorofi kwa waajiri wake yaan DEO na Mkurugenzi.Wadau wa michezo Bukoba tunaomba awajibishwe.a
 
Back
Top Bottom