Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Mkuu wa Usalama wa taifa Wilaya ya Singida, Joseph Komba, anadaiwa kunyanyasa sana Askari wadogo kwa sababu inayodaiwa yupo karibu na OCD na mshauri wa Mugambo wa Wilaya.
Pia inadaiwa amekuwa akinyanyasa watu night club inayojulikana kwa jina la Narina.
Joseph Komba wiki ilopita alimpiga aitwaye Hussein anyefanya kazi katika Ofisi ya Mwanasheria wa Serikali Singida.
Je, Maadili ya Utumishi wa umma una mipaka?