Tetesi: Mkuu wa wilaya Manyoni atumbuliwa, Ni aliyerudisha kodi ya kichwa kwa wananchi

Tetesi: Mkuu wa wilaya Manyoni atumbuliwa, Ni aliyerudisha kodi ya kichwa kwa wananchi

Njaro

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2016
Posts
356
Reaction score
787
Baada ya Mkuu wa Mkoa wa Singida kutoa taarifa ya kupingana na taarifa ya mkuu wa wilaya ya Manyoni, kuna taarifa kuwa tayari mamlaka ya uteuzi umetengua uteuzi wa mkuu wa wilaya wa Manyoni.

Hatua hiyo imekuja baada ya aliyekuwa mkuu huyo wa wilaya ya Manyoni kurudisha kodi ya kichwa, kodi ya mifugo, kodi ya punda, kodi ya kuku, kodi ya mbuzi nk...
 
Kutumbua imekuwa sifa sasa ivi, tunaitaji viwanda bana pia kuna makosa ya kuonya sio kufukuza kama hilo
 
Hiyo siyo habari, ingekuwa habari kama ungesema Serikali imempongeza mkuu wa wilaya ya manyoni kwa kubuni vyanzo vipya vya mapato kwa kurudisha kodi ya kichwa na mifugo ya kawaida
 
Mkuu wa wilaya hakusanyi kodi anayekusanya mkurungezi na sheria ndogo mpaka zisainiwe na Waziri Mkuu sijui kwa sasa sababu TAMISEMI ipo chini ya ofisi ya Raisi. Hapo kuna utata kidogo.
 
Wengi watapitia kazi za serikali safari hii, ingawa hata mwezi tu ukiboronga OUT
 
Niamin kipi mpaka sasa watu wanaforge barua ya Ikulu
Hii ndo tz ya viwanda
 
Matatizo ya kutafuta kiki, mpaka unamzidi boss wako.

Mkubwa anafuta kiki kwa wananchi na madogo nao wanatafuta kiki kwa mkubwa wao. Kazi ipo hapo.
 
Hizo habits si wameiga kwa bosi wao!!sasa hawajui yeye anatafuta kiki na wakijaribu kumuiga anawatumbua na kupata kiki zaidi kwa kupitia sifa zao za kijinga..wanaojielewa wametulia zao e.g polepole
 
Walidhani wataisoma number ni wachache.....ila wacha tuisome pendine thnaweza pata akili
 
Naam, kuna usemi kwamba "Mshahara wa dhambi ni mauti". Huyu jamaa na wakurugenzi wake wanatutesa sana wananchi. Namuomba Mheshimiwa Rais awamulike na Mkurugenzi wa Itigi maana dhambi anazofanya ni kubwa sana. Napata shaka na watu hawa juu ya weledi wao.
 
Back
Top Bottom