Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Rebbeca Sanga yeye hahusiki na mgogoro wa Mpina na wananchi na kwamba hizo tuhuma anazoelekezewa na watanzania mbalimbali kwamba ametumwa na mwigulu ni mambo ya kufikirika.
Watu wengi wamemhusisha mkuu huyo wa wilaya na ukaribu wake na Mwigulu kupitia kwa Kaka yake Festo Sanga ambaye ni Mbunge na Mtu wa karibu sana na Mwigulu aliyemtoa kimaisha kwamba eti ndio wamesuka hiyo njama ya kuandamana mpina aonekane ni kiongozi wa hovyo.
Watu wa karibu wa mkuu huyo wa wilaya wanasema yeye ni mgeni morogoro na hawezi kuwa na mgongano wa masrahi na mpina wamesema undugu wake na FESTO SANGA Mbunge hauna uhusiano na utekelezaji wa majukumu yake ya kusikiliza na kutatua migogoro ya ardhi.