Mkuu wa wilaya Ruvuma afumaniwa akimega




Ila jamaa amefaidi sana. Sasa kama hana kazi ya kufanya ofisini kwake afanyeje? acha kumwonea wivu!
 

Thread ya mwaka 2009 hiyo Mkuu.
 

Hili la kuwa kioo cha jamii inabidi ufafanue kidogo ni jamii gani unaiongelea hapa. Kama ya wazinzi sawa nakubaliana na wewe. Kuhusu kuchapa kazi naona kweli ni mchapa kazi na hachagui kazi kwani hata hizi za kimahusiano zinazofanyika vyumbani usiku nazo yumo.
 
Kwa vile inasemekana kuwa hii thread ni ya miaka 2 iliyopita yeyote atakaye changia ata kama amejisajiri jana kwenye JF ataonekana ni mkongwe, kazi kwenu sasa.
 
Hee jamani Msinichekeshe wajemenikweli za Mwizi Arobaini huyoo baba alikuwa Tamisemi Dodoma.akawa anaishi nyumba moja kule Uzunguni ana mke na watoto kibao.Jina jingine anaitwa Baba Asha.Kwa uhuni Hajambo kusema ukweli Mungu amuokoe tu.
Aliwahi kukatongoza kabinti flani jirani yake kakasema acha mkewe huyoo mama Asha akafate kale ka binti na kukuchambuaaa kenyewe kakasema yeye ndo ananisumbua kila siku.Mmh tukakaona kabinti cha watu kahuni kumbee lile libaba ndo chanzo.
 

Sioni tofauti na mbeya mwingine yeyote kwa hili
 
Anatafuta exeptinal story. Ila mbuna ni mwislam si aoe mke mwingine kuliko kufumaniwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…