Mkuu wa Wilaya Songwe, Simon Simalenga akiwa Kata ya Mwambani leo baada ya jana kufanya mazungumzo na Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Songwe

Display Name

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2014
Posts
423
Reaction score
451


Baada ya jana kukutana na kuzungumza na Watumishi wa Halimashauri ya Wilaya ya Songwe jana.



Leo Juni 25,2021 Mkuu wa Wilaya ya Songwe Simon Simalenga amefanya ziara kwenye Kata ya Mwambani ambayo inaundwa na Vijiji vya Iseche, Mbala na Mwambani.



Katika ziara hiyo ambayo aliambatana na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Songwe ililenga kwanza kujitambulisha kwa Wananchi ikiwa ni mara ya kwanza kwa kiongozi wa Serikali kufika katika eneo hilo na pili ililenga kukagua maandalizi na kuwahamasisha Vijana kushiriki kwenye mafunzo ya Jeshi la Akiba kwa mwaka 2020/2021



Katika mafunzo ya Mwaka huu Wilaya ya Songwe inatarajia kufanya mafunzo kwa vijana zaidi ya 700 chini ya Wakufunzi kutoka JWT chini ya Meja Joel F. Cibaya



Wilaya hii ina jumla ya Tarafa 2 zenye Kata 18 na Vijiji 43



 
Tunaomba na taarifa ya mkuu wa wilaya ya rorya chopa MCHOPANGA
 
Kwa hiyo? Haya basi hongera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…