Pre GE2025 Mkuu wa Wilaya Ubungo apita vijiweni kata ya Manzese kusikiliza kero za wananchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

Mambo yanazidi kuwa moto kuelekea uchaguzi mkuu 2025.

Baada ya kushindwa kesi na wadada wanaodhaniwa kufanya biashara ya kuuza mwili sasa atinga vijiweni kusikiliza kero za wananchi.

Makonda kawainspaya wengi🌚.

====

DC Bomboko akiwa kata ya Manzese mtaa wa midizini katika kijiwe cha kahawa cha wazee, kusikiliza kero zao.

Umempa Shem Morning Glory au umekurupuka kuja kuanzisha uzi humu.

Ebu acha wenge, mkumbatie shem hapo we Cute Wife 😀😀😀😀 sio kuanzisha mathread ya hovyo asubuhi hii.
 
Wakuu,

Mambo yanazidi kuwa moto kuelekea uchaguzi mkuu 2025.

Baada ya kushindwa kesi na wadada wanaodhaniwa kufanya biashara ya kuuza mwili sasa atinga vijiweni kusikiliza kero za wananchi.

Makonda kawainspaya wengi🌚.

====

DC Bomboko akiwa kata ya Manzese mtaa wa midizini katika kijiwe cha kahawa cha wazee, kusikiliza kero zao.

View attachment 3141062
Huyu nae hovyo TU! Mtu anaedili na dadapoa Hana akili kabisa! Dada POA wako enzi za kabla hata ya mitume!
 
Huyu anapambana sana .....aje kuwa RC kubebwa kwa imani sawa na mtoa uteuzi.....sasa anatafuta kiki kutokea.....atoke vipi ? Mara kashika lile kaacha mara hili.....hana ubunifu wala strategies
 
Kwanza huwa hayuko sawa
 
Cheo cha RC na DC si ni utawala, sasa anazurura mtaani kusikiliza kero za watu yeye kama nani wakati hakuchaguliwa nao.

Vyeo vya kiutawala ni vya kusimamia watendaji huko maofisini. Wanaotakiwa kupita mitaami ni wanasiasa waliopita kwenye uchaguzi. Mkuu wa mkoa na wilaya wanasikiliza kero, mbunge anasikiliza kero tena ni zile zile, ni kama hawana kazi ya kufanya.
 
Hapo anataka uteuzi wala hana lolote
 
Huyu bwana mdogo ni kichwa maji sana, CCM ipeleke hawa vijana chuo cha diplomasia ihakikishe wanasoma na kuelewa kabla ya kuwapatia vyeo.
 
Huyu nae hovyo TU! Mtu anaedili na dadapoa Hana akili kabisa! Dada POA wako enzi za kabla hata ya mitume!
kwa hiyo waachiwe tu wazagee, no regulation no rules kisa walikuwepo kabla ya mitume?
Zama zimebadilika, even ulaya wako regulated kisheria
 
Huyu bwana mdogo ni kichwa maji sana, CCM ipeleke hawa vijana chuo cha diplomasia ihakikishe wanasoma na kuelewa kabla ya kuwapatia vyeo.
Najiuliza kwenye hili alilofanya amekosea wapi? I mean ndio ana madudu yake but kwenye hili amekosea wapi
 
Back
Top Bottom