Huyu nae hovyo TU! Mtu anaedili na dadapoa Hana akili kabisa! Dada POA wako enzi za kabla hata ya mitume!Wakuu,
Mambo yanazidi kuwa moto kuelekea uchaguzi mkuu 2025.
Baada ya kushindwa kesi na wadada wanaodhaniwa kufanya biashara ya kuuza mwili sasa atinga vijiweni kusikiliza kero za wananchi.
Makonda kawainspaya wengi🌚.
====
DC Bomboko akiwa kata ya Manzese mtaa wa midizini katika kijiwe cha kahawa cha wazee, kusikiliza kero zao.
View attachment 3141062
Huyu anapambana sana .....aje kuwa RC kubebwa kwa imani sawa na mtoa uteuzi.....sasa anatafuta kiki kutokea.....atoke vipi ? Mara kashika lile kaacha mara hili.....hana ubunifu wala strategiesWakuu,
Mambo yanazidi kuwa moto kuelekea uchaguzi mkuu 2025.
Baada ya kushindwa kesi na wadada wanaodhaniwa kufanya biashara ya kuuza mwili sasa atinga vijiweni kusikiliza kero za wananchi.
Makonda kawainspaya wengi🌚.
====
DC Bomboko akiwa kata ya Manzese mtaa wa midizini katika kijiwe cha kahawa cha wazee, kusikiliza kero zao.
View attachment 3141062
Kwanza huwa hayuko sawaHuyu anapambana sana .....aje kuwa RC kubebwa kwa imani sawa na mtoa uteuzi.....sasa anatafuta kiki kutokea.....atoke vipi ? Mara kashika lile kaacha mara hili.....hana ubunifu wala strategies
Oohhh hapo sawa sawa basiii ipo siku atawaaibisha wanaombeba....Kwanza huwa hayuko sawa
CCM hakuna mwenye aibu yote ni majangili tupuOohhh hapo sawa sawa basiii ipo siku atawaaibisha wanaombeba....
Hapo anataka uteuzi wala hana loloteCheo cha RC na DC si ni utawala, sasa anazurura mtaani kusikiliza kero za watu yeye kama nani wakati hakuchaguliwa nao.
Vyeo vya kiutawala ni vya kusimamia watendaji huko maofisini. Wanaotakiwa kupita mitaami ni wanasiasa waliopita kwenye uchaguzi. Mkuu wa mkoa na wilaya wanasikiliza kero, mbunge anasikiliza kero tena ni zile zile, ni kama hawana kazi ya kufanya.
kwa hiyo waachiwe tu wazagee, no regulation no rules kisa walikuwepo kabla ya mitume?Huyu nae hovyo TU! Mtu anaedili na dadapoa Hana akili kabisa! Dada POA wako enzi za kabla hata ya mitume!
Najiuliza kwenye hili alilofanya amekosea wapi? I mean ndio ana madudu yake but kwenye hili amekosea wapiHuyu bwana mdogo ni kichwa maji sana, CCM ipeleke hawa vijana chuo cha diplomasia ihakikishe wanasoma na kuelewa kabla ya kuwapatia vyeo.
Huna akili kabisa.DC wa Ubungo huwa ni mjinga sn
Hajakosea, nime comment generally kulingana na mienendo yake ya awaliNajiuliza kwenye hili alilofanya amekosea wapi? I mean ndio ana madudu yake but kwenye hili amekosea wapi
Kwamba wewe ndiyo DC wa Ubungo?Huna akili kabisa.
Na mim nahis hayuko sawa mentally.Kwanza huwa hayuko sawa