pesakilakitu JF-Expert Member Joined Aug 17, 2024 Posts 1,618 Reaction score 2,861 Nov 2, 2024 #21 Mr kenice said: Alikua wapi siku zote. Click to expand... Alikua anapambana na madada poa, kaangukia pua, saiv anatafuta huruma.za.wana vijiweni.
Mr kenice said: Alikua wapi siku zote. Click to expand... Alikua anapambana na madada poa, kaangukia pua, saiv anatafuta huruma.za.wana vijiweni.
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Nov 2, 2024 #22 pesakilakitu said: Na mim nahis hayuko sawa mentally. Click to expand... CCM 98% ni vichaa
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Nov 2, 2024 #23 pesakilakitu said: Alikua anapambana na madada poa, kaangukia pua, saiv anatafuta huruma.za.wana vijiweni. Click to expand... Teuzi za hovyo kabisa
pesakilakitu said: Alikua anapambana na madada poa, kaangukia pua, saiv anatafuta huruma.za.wana vijiweni. Click to expand... Teuzi za hovyo kabisa
G G4N JF-Expert Member Joined Apr 6, 2014 Posts 4,283 Reaction score 9,925 Nov 2, 2024 #24 Cute Wife said: DC Bomboko akiwa kata ya Manzese Click to expand... Huyu DC Bomboko ashalipa fidia ya bilioni 36 kwa wale wanawake aliowatuhumu kuwa ni makahaba? Kero yangu mimi ni kwamba makahaba wamepandiksha bei ya bao moja kutoka sh elfu 10 hadi sh elfu 25. DC anatusaidiaje ktk hilo?
Cute Wife said: DC Bomboko akiwa kata ya Manzese Click to expand... Huyu DC Bomboko ashalipa fidia ya bilioni 36 kwa wale wanawake aliowatuhumu kuwa ni makahaba? Kero yangu mimi ni kwamba makahaba wamepandiksha bei ya bao moja kutoka sh elfu 10 hadi sh elfu 25. DC anatusaidiaje ktk hilo?
L Lucas Mwashambwa JF-Expert Member Joined Jul 28, 2022 Posts 28,722 Reaction score 20,610 Nov 2, 2024 #25 Benjamini Netanyahu said: Kwamba wewe ndiyo DC wa Ubungo? Click to expand... Kwani wewe hujuwi mimi nani katika Taifa hili? Au unajisahaulisha?
Benjamini Netanyahu said: Kwamba wewe ndiyo DC wa Ubungo? Click to expand... Kwani wewe hujuwi mimi nani katika Taifa hili? Au unajisahaulisha?
N Nangu Nyau JF-Expert Member Joined Jul 1, 2022 Posts 5,015 Reaction score 14,139 Nov 2, 2024 #26 Mkuu wa wilaya karne ya 21 unapewa kero ya maji, maji ni basic need maana yake ilipaswa kuwa jambo la kwanza kuhakikisha haliwapi shida wananchi.
Mkuu wa wilaya karne ya 21 unapewa kero ya maji, maji ni basic need maana yake ilipaswa kuwa jambo la kwanza kuhakikisha haliwapi shida wananchi.