Dr Restart
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 4,949
- 24,046
Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo, Zainab Abdallah ameonesha utaalamu na uwezo mkubwa wa kushusha mistari huku akiwa amerelax kabisa.
Binti huyo mrembo, ameonekana katika video inayosambaa katika mitandao ya kijamii akichana kwa lugha ya Kiingereza kwa lafudhi ya Kimarekani kama Mwanamuziki Nick Minaj
Mistari hiyo inahusiana na mwanaume mwenye pesa aliyempenda kisawasawa na baadae kubadilika punde baada ya kupata ujauzito.
Hebu Msikilize hapa chini, kisha muachie ujumbe katika eneo la comments.