Dr Restart
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 4,949
- 24,046
Huyo apoAfadhali siku hiz hata anavaa vizuri. Alikua anavaa kama bibi wakati ni mdogo tu
Siku hiz afadhali kwakweli
Huyo sio mumewe??Alikuwa anamchana Mhe. We so
Dah! Siku zinakimbia kweli kweli! Yaani ukizubaa tu, umeachwa!! Yaani enzi hizi ukisikia neno Mkuu wa Wilaya au Mkoa, unashtuka! Ila kwa sasa, mambo ni tofauti kabisa.
Ni Kama watendaji wa kata tuDah! Siku zinakimbia kweli kweli! Yaani ukizubaa tu, umeachwa!! Yaani enzi hizo ukisikia neno Mkuu wa Wilaya au Mkoa, unashtuka! Ila kwa sasa, mambo ni tofauti kabisa.
Jamani hawa watu watu wanawaheshimu na kuwatetemekeaNi Kama watendaji wa kata tu