the guardian 17
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 395
- 570
Mkuu wa Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya Mbarak alhaj Batenga, ameagiza kuundwa kwa mfuko maalumu utakaoshughulikia majanga ya asili na moto ambao utasaidia kupunguza hasara inayawapata wakulima wa tumbaku wilayani humo.
Batenga alitoa kauli hiyo alipokuwa akikabidhi gari kwa wakulima wa tumbaku wa chama cha msingi cha MTANILA AMCOS kwa ajili ya kuongeza tija ya uzalishaji wa zao hilo.
Batenga alitoa kauli hiyo alipokuwa akikabidhi gari kwa wakulima wa tumbaku wa chama cha msingi cha MTANILA AMCOS kwa ajili ya kuongeza tija ya uzalishaji wa zao hilo.