Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Bi. Pili Msafiri jitafakari

Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Bi. Pili Msafiri jitafakari

Kinoamiguu

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2018
Posts
11,936
Reaction score
15,196
Mkuu wa wilaya ya Kigamboni jana alikuwa kituko kwenye maadhimisho ya kilele cha siku ya Ukimwi duniani.

Kama wakuu wa Wilaya wapo hivi basi safari ni ndefu nitaeleza

1. Mavazi ya disco kwenye tukio la kidunia.
Bi Sara Msafiri alikuja viwanjani hapo huju akiwa amevaa kipedo cha kubana ndii kiliyachora maeneo na mwili wake kama wafanyavyo wahudumu wa bar. Kwani ungevaa za heshima ingekuaje? Unajisikiaje kuvaa vipedo huku ukiwa na cheo kikubwa

2. Kuchanganya siasa na mambo ya afya za watu badala ya kuhamasisha watu wachangie mfuko wa Ukimwi kwa kutaja umuhimu wake, wewe ulienda mbali na kutaja SGR, bwawa, nk.

Aidha ulisalimia kwa salamu na kutaja uchaguzi wa serikali za mitaa kanakwamba ndiyo uliotupeleka pale? Unapaswa kujua mipaka ya siasa zako za kitoto na mambo ya kitaalamu na ya kiutendaji.

3. Content/theme. Ulikuwa unasoma risala kama mtu aliyejifunza kusoma jana. Na wala hukuwa hata na uwezo wa kusoma na kuzungumza maneno yake. Yaani ulisoma mstari kwa mstari. Ulishindwa nini kufanya rehearsal hata ya masaa mawili kabla?

Msomi wa degee unashindwa kujua contents za siku ya Ukimwi?

Siku nyingine zingatia haya:
1. Muktadha
2. Topiki
3. Nani anakusikiliza
4. Wapi
5. Mkiwa mnazungumzia nini
 
Viongozi wetu wanatakiwa wavae nguo za heshima.
 
Uzi wote hakuna picha ndo nini sasa si bora usiandike kabisa. Unazingua brow
 
Back
Top Bottom