MPARE KIBOGOYO
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 405
- 279
Tunaongozwa na watu wajinga sana amin masalia ya bashite na sabaya yapo.Kwahiyo akishawaweka ndani hayo madarasa ndio yatajengwa? Hopeless kabisa
Huyohuyo.Yule DED bi dada hivi kafupi. Duuh kumbe naye hopeless.
Hii nchi viongozi wapumbavu sijui wataisha liniMkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Mkuranga amewakamata na kuwaweka ndani wakuu wa shule 3 za sekondari kwa kuchelewa kuanza ujenzi wa vyumba vya madarasa. Wamewekwa ndani kuanzia tarehe 8/11/2021.
Hatua gani mmechukua aisee? Wasiliana na RAS. Niwape namba ya RAS msaidizi muungwana sana Mr Abdul. Nadhani angeweza kuchukua hatua zingine tofauti na hizo.Huyohuyo.
Mpare mwenzio huyo.Huyohuyo.
Watu wanakwiba hela za CSR na tozo huko Mizeya - Njia Nne wachimbapo udongo wa kutengeneza tiles Goodwill, yeye anahangaika na wakuu wa shule.Yule DED bi dada hivi kafupi. Duuh kumbe naye hopeless.
Daaahhh kweliMpare mwenzio huyo.
Tunaongozwa na watu wajinga sana amin masalia ya bashite na sabaya yapo.
Wanaonewa hao walimu,kwani wao ndio wameshika tends ya ujenzi.
Mwl amesomea ujenzi?
Watendaji wa kata na vijiji ndio wajibu wao
Washitakiwe kwa kutoingia madarasani na kuiba chaki.Shughuli za ujenzi Mwl awe shahidi tu wakile kinachoendelea shuleni.Eeh mseme kwa nguvu jamani mkatuangushia zigo hilo.
Wakiwa mahabusu ndiyo watawahi kujengaMkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Mkuranga amewakamata na kuwaweka ndani wakuu wa shule 3 za sekondari kwa kuchelewa kuanza ujenzi wa vyumba vya madarasa. Wamewekwa ndani kuanzia tarehe 8/11/2021.