MPARE KIBOGOYO
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 405
- 279
- Thread starter
-
- #21
Wamepewa siku 30 ujenzi uishe.Wameonewa,hii nchi mtumishi anaenyanyaswa sana ni mwalimu.
Pesa ya ujenzi imetoka wiki 1 imepita,alafu watawala wanataka madarasa yakamilike ndani ya wiki 3.
Sasa hawa walimu walikosa muda wa kufunya maandalizi maana ujenzi wenyewe unakwenda kwa haraka sana,wawape muda walomu
Pesa zenyewe ni za misaada ya corona alafu mnakuja kuwanyanyasa walimu wetu.
Walimu wenyewe wala serikali haiwajali mishahara yao haijaongezwa kwa miaka 5 sasa,watu wanaishi na stress alafu mnawaweka ndani kwa mambo ya kijinga.
Hivi walimu kazi zao nyingi...Ufundishaji, Ujenzi, Ulinzi, Uchaguzi.....!!!?Wakiwa mahabusu ndiyo watawahi kujenga
Yaani anatetea kushika silaha mkononi!?Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Mkuranga amewakamata na kuwaweka ndani wakuu wa shule 3 za sekondari kwa kuchelewa kuanza ujenzi wa vyumba vya madarasa. Wamewekwa ndani kuanzia tarehe 8/11/2021.
====
UPDATES:
====
Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga Bi.Khadija N. Ali, amekanusha taarifa hii kuhusu Mkurugenzi wa Wilaya hiyo Bi. Mwantum Mgonja kuwaweka ndani Walimu wakuu wanaozembea katika kusimamia Ujenzi wa madarasa.
Amesema yeye ndiye aliyeagiza walimu hao kukamatwa na sio Mkurugenzi
Mkurugenzi alivyojua amekosea kitaratibu kuwaweka ndani..Mkuu wa Wilaya akaona aseme ni yeye ili amlinde. Ila Leo naomba niwaombe msamaha waliokuwa wanadai katiba mpya halafu nikawaona hawana hoja.Yaani anatetea kushika silaha mkononi!?
Huyo mkurugenzi yawezekana, sina hakika, kuna vitu vinamlinda.Mkurugenzi alivyojua amekosea kitaratibu kuwaweka ndani..Mkuu wa Wilaya akaona aseme ni yeye ili amlinde. Ila Leo naomba niwaombe msamaha waliokuwa wanadai katiba mpya halafu nikawaona hawana hoja.
Fundisho kwa wenye tabia kama zao.Kwahiyo akishawaweka ndani hayo madarasa ndio yatajengwa? Hopeless kabisa
Ukishindwa kula na wakubwa lazima uwe ndani. Pesa tamu bwana.Fundisho kwa wenye tabia kama zao.
Unajua wtz mnakera,,wakizembea mnasema huyu Samia hafai na wakichukua hatua mnalalamika hivi mkoje nyie wanyonge!!!?Hao walimu wamemwambia wana shida ya madarasa kwa sasa, kwa nini wasifanye kwa ratiba yao waliyojiwekea au ndo haraka ya kupiga zile 1.3t
Nadhani ni muhimu watu wajue sheria na kuzifuata na wanaokamatwa kinyume cha sheria, wawe wanafungua kesi za madai inaonekana wazi kwamba ilikuwa ni kinyume cha utaratibu.Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Mkuranga amewakamata na kuwaweka ndani wakuu wa shule 3 za sekondari kwa kuchelewa kuanza ujenzi wa vyumba vya madarasa. Wamewekwa ndani kuanzia tarehe 8/11/2021.
====
UPDATES:
====
Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga Bi.Khadija N. Ali, amekanusha taarifa hii kuhusu Mkurugenzi wa Wilaya hiyo Bi. Mwantum Mgonja kuwaweka ndani Walimu wakuu wanaozembea katika kusimamia Ujenzi wa madarasa.
Amesema yeye ndiye aliyeagiza walimu hao kukamatwa na sio Mkurugenzi
Mwalimu ndo injinia hadi umweke ndani kwa kushindwa kukamilika jengo, yaani mwalimu aache kushughulika na taaluma ya wanafunzi akatumie muda wote kujenga madarasa, hovyo kabisa.....Unajua wtz mnakera,,wakizembea mnasema huyu Samia hafai na wakichukua hatua mnalalamika hivi mkoje nyie wanyonge!!!?
Kuna kitu sijakielewa katika jenga jenga ya hizo shule za kata sijui za wananchi.mshikaji wangu yupo wilaya hiyo mkuranga ni mwanakiji wa huko.alinipigia akiniambia anataka tuonane nikamwambia nipo mbali kama vipi tuongee tu kwa simu.akatiririka ebhana tunataka utukopeshe hela tujenge msingi wa shule then baada ya wiki 2 tukipewa hela na serikali tutakurudishia hela yako.mmmh nikaanza kuogopa nikamwambia hela sina kwa kuogopa serikali inaweza kuchelewesha tukaanza kuonana wabaya.! Ninachotaka kujua serikali inatoa hela za ujenzi badala ya kuona mshaanza kujenga au mnapewa cash mjenge wenyewe kuanzia msingi.???? Kiufupi utaratibu unakuwa vipi.Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Mkuranga amewakamata na kuwaweka ndani wakuu wa shule 3 za sekondari kwa kuchelewa kuanza ujenzi wa vyumba vya madarasa. Wamewekwa ndani kuanzia tarehe 8/11/2021.
====
UPDATES:
====
Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga Bi.Khadija N. Ali, amekanusha taarifa hii kuhusu Mkurugenzi wa Wilaya hiyo Bi. Mwantum Mgonja kuwaweka ndani Walimu wakuu wanaozembea katika kusimamia Ujenzi wa madarasa.
Amesema yeye ndiye aliyeagiza walimu hao kukamatwa na sio Mkurugenzi