Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Serikali ya mkoa wa Lindi imesema kuwa ndani ya Mkoa wa Lindi watoto kati ya miaka 10 hadi 19 wakiwa na jumla ya watoto 7,840 wamepata Mimba na kukatisha masomo jambo ambalo halikubaliki katika jamii na Serikali kwa ujumla.
Soma pia: Changamoto ya Mimba za Utotoni, Katavi, Watoto 50 wa Miaka 10-14 wabebeshwa ujauzito Mwaka 2024
Akizungumza katika Maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea Mhe. Mohamed Hassan Moyo akimwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe. Zainab Telack, amesema kuwa ndani ya Mkoa wa Lindi watoto kati ya miaka 10 hadi 19 wakiwa na jumla ya watoto 7,840 wamepata Mimba.