Serikali ya mkoa wa Lindi imesema kuwa ndani ya Mkoa wa Lindi watoto kati ya miaka 10 hadi 19 wakiwa na jumla ya watoto 7,840 wamepata Mimba na kukatisha masomo jambo ambalo halikubaliki katika jamii na Serikali kwa ujumla.
Akizungumza katika Maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea Mhe. Mohamed Hassan Moyo akimwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe. Zainab Telack, amesema kuwa ndani ya Mkoa wa Lindi watoto kati ya miaka 10 hadi 19 wakiwa na jumla ya watoto 7,840 wamepata Mimba.
Watoto 7000 katika kipindi cha muda gani?
Wilaya moja,Nachingwea,watoto 7800 wamepata mimba.
Wamepata mimba katika mwaka mmoja au hizi ni takwimu za miaka kumi?
Halafu,I don't believe all this.
Hapo hakuna nguvu kazi itakayo potea.... nadhani tutakua tumesaidia jamiii... nguvu kazi ina bebesa watoto under age wakati makubahanga yamejaa kila kona.. tusi watetee wabakaji in the names of nguvu kazi