Mkuu wa Wilaya ya Songwe na watoro Sugu mashuleni

Njaa kali30

Member
Joined
Jul 18, 2021
Posts
47
Reaction score
28
Mkuu wa wilaya Songwe alianza kazi yake vizuri pindi alipofika wilaya ya Songwe ya kuwarudisha watoro sugu mashuleni. Jamii inayoishi katika wilaya ya Songwe wengi ni wachimbaji madini na wafugaji. Kwahiyo jamii hii watoto wa huko hawapendi shule. Mkuu wa wilaya akaja na mkakati kabambe wa kupamba na watoro sugu mashuleni.

Nadhani ni mkakati mzuri na una nia nzuri ya kuifanya jamii ya huko iweze kupenda shule. Na mwamko ulikuwa mkubwa ukawafanya wazazi wengi wa kurudisha watoto wao lakini mpango huo ulionzishwa na mkuu wa wilaya nia njema ya kuisadia wilaya yake anayoiongoza umeangukia mikononi mwa watumishi wasio waadilifu yaani watendaji wa vijiji/kata na wakuu wa shule.

Wamekuwa wakitumia mwanya huo katika katika kuwakamata wazazi wa watoto kwa nguvu na kuwatoza pesa nyingi. Hii imejitokeza sehemu nyingi wazazi wamepigwa milions of money. Wengi wameenda TAKUKURU NA VIELELEZO VYOTE VYAKUONYESHA KWAMBA WAMETOA PESA lakini TAKUKURU hawajawasikiliza walichokifanya na wenyewe ni kwenda kuchukua mgao wao kwa mlango wa nyuma.

Wakuu wa shule na watendaji kata wamekuwa wanufaikaji wakubwa na matendo hayo na wamekuwa wakikamata mpaka mwanafuzi aliyechaguliwa kujiunga kidato cha kwanza mwaka 2017/18/19/29/21 na huko ndiko wamekuwa wakipigia pesa. Kuna incident moja imetokea kata moja mzazi kalipishwa milioni 6 na mkuu wa shule akishilikana na mtendaji wa kata kwa mtoto wake aliechaguliwa kujiunga kidato cha kwanza 2018.

Mzazi alilipa kwa sababu alitishwa itafungwa familia nzima kwa kosa hilo. Mzazi alilipa 6000,000/= lakini alipewa risiti ilioandikwa 1,200,000. Alijaribu kuuliza kwanini kalipa 6m na kapewa risiti ya 1.2 aliishia kutishwa na akanywea. Alichukua risiti yake na kisha kuipeleleka polisi kuelezea hali jinsi ilivyo hakupata ushirikiano kwani inaonekana hili swala linakoneksheni ndefu.

Aliamua kwenda Takukuru kwani hizi ofisi zimekuwa na ushirikiano mkubwa katika upigaji mkubwa takukuru walifika lakini hawakuchukua hatua zozote swala hililimeshafika kwa mkurugenzi, mkuu wa wilaya, wakuu wa Idara upande wa elimu.
Mazingatio.
1.Najua mkuu wa wilaya ulikuwa na nia nzuri. naomba nia yako nzuri watumishi wasio waadilifu wasiitumie kwa maslahi yao.
Watumishi waliohusika na katika ubadhirifu wawajibishwe pindi na wapishe kwenye viti vyao kupisha uchunguzi.
Kesi ipo takukuru na vijiji karibia vyote vimekuwa vikitumia utoro wa wanafunzi kama mapato ya kijiji na mapato ya shule.
Tabia hizi zikomeshwe nitaapload risiti ya malipo na voice note zao.
Taarifa zikizonifikia punde jana takukuru walifika na kuwahoji sehemu zote 2, mkuu wa shule na mtendaji wa kijiji .Habari zilizojiri wahusika wameenda kwa mganga
 
Watu bado mapumzikoni.
 
Hii wilaya ni moja ya wilaya korofi sana ina mambo ya ajabu ajabu sana na mimi niliwahi kupewa ukuu wa shule nikaangalia mazingira nikaona isiwe nongwa nikauacha yaani mazingira ya upigaji mengi sana katika hii wilaya kutokana miundo mbinu yake kuwa korofi sana kwanza wskaguzi huwa wanatembelea mjini tuuu na sikwingineko viongoxi wajanja wajanjawajanja na wapigaji haswa
 
Watendaji kata na wakuu wa shule wengi weziwezi sana mkuu wa wilaya asipoangalia watu watamuaribia 6m daaaah ni hataree
 
Hatimaye pesa 6m imerudishwa baada ya muhusika kubanwa na kutakiwa kulipwa. wanawaacha viongozi wa namna hii katika viti vyao?tutegemeee upigaji mwingine ofisi ya wilaya mkurugenzi inawalinda sana, wanasimamia majengo yanakuwa mabovu sasa hivi nasikia kuna ujenzi unaendelea yaaani wenyewe ndio watafuta mafundi,
Wenyewe ndio wakaguaji, serikali fukuzeni watu hawa kwenye nafasi zao.
 
Duuuh wilay hii mtu kachukua rushwa ya mapesa mengi mwisho wa siku kapandishwa cheo.
 
Back
Top Bottom