Tetesi: Mkuu wa wilaya ya Tarime na maandamano ya kujikomba

Unafanyaje sasa unapogundua boss wako ni mpenda sifa? Hiyo inaitwa kula na kipofu, huoni Jerry Murro anavyojituma saa hizi, anajua soon atamfuata Gondwe.
 
Hahahaha! Nchi hii ina safari ndeeeefu sana kwakweli. Hiii inanikumbusha yale maandamano ya jana ya wamachinga ati waziri kairuki anahutubia wamachinga. Ivi huyu raisi magufuli haoni kuwa hata watangulizi wake wanamshangaa! Raisi huna kipya ulichofanya zaidi ya kutimiza wajibu wako. Sifa hizi za kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa hazitalifikisha taifa popote. Uzalendo sio kuimba mwimbo wa taifa
 
Kwisha kazi yenu.
 
Ila hii kick angetusua kidogo leo angekuwemo katika ma RC wapya, yaani timing yake ilikuwa powa sema timu yake imechagua tukio sahihi lakini wakati na venue vimefanya kabuma.
 

Yakaishiaje?
 
Somo kwa mkuu, kuwapa nafasi watendaji chini yake kufanyiwa kazi masuala tata. Kuna kiongozi wa upinzani tena ngazi ya chini alidhalilishwa sana na huenda yupo mahabusu Bado.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…