Nyarupala
JF-Expert Member
- Jun 2, 2024
- 494
- 856
Hii ni zaidi ya kuminya mapato ya wilaya kama hajajua, hivi inaingia vipi akilini unaenda kumkamata mtu chumbani kwenye gest au lodge iliyosajiliwa na mmiliki analipa kodi serikalini monthly na ana leseni?
Binafsi naomba mkuu wetu wa Wilaya tupatie utaratibu au vigezo ambavyo vinatakiwa kwa mtu anaetakiwa chumba cha kulala kwenye nyumba za wageni. Kama ni cheti cha ndoa aseme au kama vigezo vingine aseme kuliko hii anayofanya ni kuharibiana biashara.
Pia soma:

- Kuna kesi ya udhalilishaji kama wale walioonekana kwenye video ya kukamata makahaba watapata mwanasheria mzuri
- Vigezo gani anavitumia DC wa wilaya ya Ubungo, Hassan Bomboko kuvamia kumbi za starehe na nyumba za wageni kukamata watu anaodai ni makahaba?
- Tetesi: - Waliokamatwa kwa tuhuma za kununua Makahaba Ubungo kumburuza mahakamani Mkuu wa Wilaya kwa kudhalilishwa! Wadai walifuatwa Guest!