Wazabanga kuku
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 264
- 380
Tafuta mtoto piga miti 6 hoursHabarini wadau
Jamani nashindwa kuelewa kama nimerogwa au tatizo ni nini yani mkuyati wangu unasimama kila mara hasa nikikutana na Binti mrembo kiukweli napata tabu sana huko mabarabarani na kuna wakati mwingine unasimama tu bila taarifa Sasa sijui ndo tatizo mwenye uzoefu na hii hali aniambie dawa yake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee zingekua zinapunguzwa na kuuzwa ungekua tajiri sana
Uzoefu ni kwamba, shule zikifunguliwa mada za namna hii hupungua sanaHabarini wadau
Jamani nashindwa kuelewa kama nimerogwa au tatizo ni nini yani mkuyati wangu unasimama kila mara hasa nikikutana na Binti mrembo kiukweli napata tabu sana huko mabarabarani na kuna wakati mwingine unasimama tu bila taarifa Sasa sijui ndo tatizo mwenye uzoefu na hii hali aniambie dawa yake
Mkuyati dawa ya kuongeza nguvu za kiume ila saa hv ni Msamiati mpya ukiwa na maana unaijua mwenyewekwanza Unajua maana ya mkuyati ?
Kwanza kabisa tujuze una Umri ganiHabarini wadau
Jamani nashindwa kuelewa kama nimerogwa au tatizo ni nini yani mkuyati wangu unasimama kila mara hasa nikikutana na Binti mrembo kiukweli napata tabu sana huko mabarabarani na kuna wakati mwingine unasimama tu bila taarifa Sasa sijui ndo tatizo mwenye uzoefu na hii hali aniambie dawa yake
30yrsKwanza kabisa tujuze una Umri gani
Oh okMkuyati dawa ya kuongeza nguvu za kiume ila saa hv ni Msamiati mpya ukiwa na maana unaijua mwenyewe
Inaonesha baleghe imechelewa kutoka.... Unataka dawa?30yrs