Mkwakwani kama misri

Mkwakwani kama misri

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,137
Reaction score
17,908
Vurugu kubwa zimeripotiwa mara baada ya mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Coastal Union na Ruvu Shooting.Katika vurumai hiyo,Kocha Mkuu wa Ruvu Shooting,Charles Boniface Mkwassa amepokea kipigo.Vurugu hizo,kwa mujibu wa vyanzo vyangu,zimesababishwa na mashabiki wa Coastal Union walioingia uwanjani baada ya filimbi ya mwisho.Mchezo huo umeisha kwa Coastal kushinda 1-0.Coastal wako chini ya Kocha Jamhuri Kihwelo.
 
Back
Top Bottom