Mkwasa afanye nini kuitoa Algeria

Mkwasa afanye nini kuitoa Algeria

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
Ni siku chache zimebaki kabla ya kukutana na Algeria ili tufuzu kwenye awamu ya makundi ya kombe la dunia.

Mkwasa afanye nini?

Kikosi kilichoanza kilikuwa vizuri ukiondoa mihemko ya Thomas Ulimwengu.

Ulimwengu hafai kuanza game lijalo.

Cha msingi ni Mkwasa kutafuta viungo wenye uwezo wa kukaba na kupanda na mpira ili wamlishe samatta.

Mkwasa atafute washambuliaji wenye uwezo wa kushambulia na kurudi kukaba.

Kipindi cha kwanza tucheze kama tulivyocheza hapa Dar.

mafoward waongeze ufanisi wa kutumia nafasi...tutupie mbili au zaidi.

beki namba tatu wetu awe active kama alivyokuwa kipindi cha kwanza.

tupambane tumpate midfilder wa kunyanganya mpira na kuusogeza mbele mithili ya mikel obi na gerad!

Hili game tunashinda kabisa ....#hapakazitu
 
akawatafute wapi sasa? hao waliopo ndio angalau wana nafuu ila bado safari ni ndefu sana.
 
Kule tusijifariji ndg zangu....Hawa jamaa nakumbuka kwenye kombe la dunia brazil walicheza game huku wamefunga
mwezi mtukufu na walicheza mpira kila mtu alishangaa,yan hata mimi jana nilistaajabu kwanini wametoa droo na tz
kama tuliwakosea hapa kule hatutoki na tusijifariji na kale kamsemo "mpira unadunda"...mwarab kwake hakuachi.
 
Tutatoka tu ni issue ya kujipanga
 
Ni siku chache zimebaki kabla ya kukutana na Algeria ili tufuzu kwenye awamu ya makundi ya kombe la dunia.

Mkwasa afanye nini?

Kikosi kilichoanza kilikuwa vizuri ukiondoa mihemko ya Thomas Ulimwengu.

Ulimwengu hafai kuanza game lijalo.

Cha msingi ni Mkwasa kutafuta viungo wenye uwezo wa kukaba na kupanda na mpira ili wamlishe samatta.

Mkwasa atafute washambuliaji wenye uwezo wa kushambulia na kurudi kukaba.

Kipindi cha kwanza tucheze kama tulivyocheza hapa Dar.

mafoward waongeze ufanisi wa kutumia nafasi...tutupie mbili au zaidi.

beki namba tatu wetu awe active kama alivyokuwa kipindi cha kwanza.

tupambane tumpate midfilder wa kunyanganya mpira na kuusogeza mbele mithili ya mikel obi na gerad!

Hili game tunashinda kabisa ....#hapakazitu
Tangu lini Le Mutuz akawa mchambuzi wa mpira? Peleka huko mihemko yako ya wizi wa kura lumumba.
 
Mimi ni mdau wa soka hii game tumeshapoteza...

Mechi ya kwanza tuliwazidi Algeria kiufundi isipokuwa uzoefu hafifu wa wachezaji wetu ndio kitu kilichoifaidisha Algeria...

Sasa suala la uzoefu huwezi kulirekebisha ndani ya siku mbili pekee...
 
kamisaa wa mchezoo akiwa lubuuuu na kamati ya ufundii awepoo mwezi wa kwanzaa(kwa kizungu) na team yakee refariii awepo jechan(wazanzibar) tutashindaa tofauti na hapoo nikichapoo tuu hakuna namnaaa😂😂 watajwaaa hapoo juuu ndo wanaweza Fanya miujizaaa Kama walivyo fanyaaa uchaaaaaaaguuuuruniiiii😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
eleza zaidi kuhusu Ulimwengu...usije kuwa ulikuwa umekunywa pombe zako za bei rahisi
 
Mkwasa amsajili Makufuli akae kipa, Mkoba amalize Makambako na Mshambuliaji akae Nepi apige mabao ya Mkono... Hapo bila kusahau mapendekezo ya wadau hapo juu LUBUVAGU awe Refa na Linesmen Jecha na yule Mkurugenzi wa NEKI somebody Ramadhan..
 
ha ha ha mwarabu away anatafutaga draw tu ili kwake akusosomole vizuri.

starz tunakula nyekundu dakika tano za mwanzo na kucheza pungufu.. mpaka mechi inaisha tumepigwa za kutosha tu.tunarudi nyumbani na vijisababu kama kawaida
 
Hujui soka wewe...ndio maana kuna dakika tisini...hutaamini tutakachokifanya

Mpira sio NEC, Wanajifungia kule na kuja na matokeo, hapa unachezwa wazi, kila mtu anaona, hatuna uwezo wa kumtoa algeria, acheni kujifariji nyie, professionals ni professionals tu, mmekosa goli ngapi, wao wamepata chance na kufanya kweli.
 
Ha hapa refa awe jecha tu ndo salama yetu. ila lolote laweza tokea algeria wameshuka kiwango sio wale wa 2014.
 
Back
Top Bottom