Mkwasa anaviweza viatu vya Lwandamina?

Mkwasa anaviweza viatu vya Lwandamina?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Je, Mkwasa anaweza kuiziba nafasi ya kocha aliyeondoka, George Lwandamina Yanga?
 
Charles Boniface Mkwasa alikua kiungo mahiri wa Yanga enzi zake wakati anacheza mpira lakini zaidi ya hapo Mkwasa hawezi kazi ya ukocha wala ya uongozi wa juu kwenye club hiyo kubwa na kongwe hapa nchini. Sijawahi kumuamini na kumkubali akiwa kocha wa Yanga au timu ya Taifa wala akiwa kocha au Katibu Mkuu wa Yanga
 
eti alihusika na uondokaji wa kihuni wa Lwandamina Yanga?
 
Kwani huyo Lwandamila kafanya kitu gani cha ajabu hapo Yanga??
 
Charles Boniface Mkwasa alikua kiungo mahiri wa Yanga enzi zake wakati anacheza mpira lakini zaidi ya hapo Mkwasa hawezi kazi ya ukocha wala ya uongozi wa juu kwenye club hiyo kubwa na kongwe hapa nchini. Sijawahi kumuamini na kumkubali akiwa kocha wa Yanga au timu ya Taifa wala akiwa kocha au Katibu Mkuu wa Yanga
Umemaliza kila kitu
 
Back
Top Bottom