hernanes96
Member
- May 2, 2015
- 16
- 6
unaongoza gol mbli bila,hata dk ya 70 bado unatoa mtu ambae alikua anafanya kaz kubwa unaweka m2 wa show game
mudathir alicheza vema na himid mao pale kati na kufanya stars kudominate game,coz walielewana sana na ni watu wa kazi full time,kumtoa mudathir kulimuathir mao kwa kua ndemla sio mkabaji kama mudathir na hakua akirudi chini kuchukua mipira,so ilibidi himid afanye kazi mbili kitu kilichosababisha kuelemewa na mzgo ambao hakupaswa,pale ilitakiwa aingie mtu anayeweza kurudi chini kwa haraka kuchukua mipira na kudrive tim kushambulia,pia kuwa sharp kwenye kukaba ili aendeleze uchezaji wa mudathir,sio siri kocha mkwasa "master" kwa ile sub uliua mawasiliano kati viungo na mastraika pia mabeki
fanyia kazi hlo swala sababu linaweza kujirudia tukiwa algeria tukirudiana nao,na kusababisha tukachezea nyng
ni hayo tu
samahani lakini