Anaushawishi mdogo sana katika nyanja zote. Kunapotokea crisis msimtume Mkwasa kwenda kuimanage maana communication skills zake sio za kumshawishi MTU aliyekasirika akubali kufanyakazi. Hawezi kutatua migogoro pahala pa kazi hivyo anafaa kitengo ambacho interaction na wachezaji is very minimal.