Wapo wana JF ambao wanafanya kazi BRELA na asasi za fedha na idara zinazopitia majalada ya makampuni, au kuna wana JF waende BRELA JUmatatu na kusoma jalada kwa kulipia 2000 kwa jina la JF alete humu ndani maana ni public info, JF itakuwa imepiga hatua.
Lakini jambo la msingi ni kwamba hii topic ni nzito watu wanapata kigumiz
Mirambo ltd= rostam aziz= raila odinga comin to dar to open his paper
Primefuels Kenya and Mirambo Holdings Limited are to invest in Rift Valley Railways, which operates the railways of Kenya and Uganda. Fill in the blanks people..............
Duh! hii kali mkuu Halisi
yaani bado rostam na genge lake wana imani kuwa watarudi madarakani kwa kutumia pesa.
Haya bana yetu macho.
VODACOM SHARES ROW:AG issues legal opinion
THISDAY REPORTER
Dar es Salaam
ATTORNEY General Johnson Mwanyika has advised the Ministry of Communications, Science and Technology to propose relevant amendments to legislation governing the countrys telecommunications sector in the wake of the row over the intended sale of a 35 per cent stake held by local shareholders in Vodacom Tanzania Limited to foreign investors.
Mwanyika avoided taking sides in the tug-of-war between Vodacoms local shareholder, Mirambo Limited, and the Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA), and instead suggested that amendments should be made to relevant legislation to resolve the matter.
In a letter addressed to TCRA in May this year, the AG advised the Ministry of Communications, Science and Technology currently headed by Dr Shukuru Kawambwa to initiate a process of amending the existing legislation and regulations.
Regarding the question of Vodacom (T) Ltd shareholder, Mirambo Ltd, wanting to use its shares as collateral for a loan from a foreign bank on condition that the shares can be sold to any non-Tanzanian should the company default on the loan, we wouldnt want to issue an opinion because we are not the appropriate decision-makers on this matter, said Mwanyika in his letter to TCRA, which was also copied to the Ministry of Communications, Science and Technology.
The AG supports the assertion by Vodacoms local shareholders that both the Tanzania Communications Act of 1993 and the Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA) Act of 2003, which govern the licensing of telecoms firms and most regulatory matters, are silent on the ongoing obligation for Vodacom to retain 35 per cent local ownership after receiving a licence to operate in the country.
However, Mwanyika, who is the governments chief legal advisor, was careful not to make any formal opinion either in favour of the sale of the local shares to foreign investors or otherwise.
Well-placed sources say Vodacoms shareholders are reportedly seeking a loan of more than $20.5m (approx. 27bn/-) from a South African investment bank, using their shares in the mobile phone company as collateral.
According to the shareholders, the foreign bank has set strict conditions that the 35 per cent stake in Vodacom Tanzania should be available for purchase or ownership by a non-Tanzanian entity, before it issues the loan.
The shareholders maintain that the 35 per cent local ownership clause was merely an eligibility requirement for acquiring a telecoms licence in Tanzania, which does not prohibit them from selling their stake to foreigners after Vodacom was granted a licence to operate in the country.
If the minority shares in Vodacom are indeed sold to a foreign company, the telecoms company would thus become 100 per cent foreign-owned, since 65 per cent of the shares are already owned by Vodacom Group (Pty) Limited of South Africa.
Industry watchers say TCRA is fiercely opposed to the proposed sale of the minority shares in Vodacom to would-be foreign investors because doing so would violate the Communications (Licensing) Regulations of 2005, which clearly state that all telecoms companies in the country shall have at least 35 per cent local ownership.
While Mwanyika was careful to avoid directly taking sides in the matter, ex-cabinet minister Andrew Chenge was all-out in favour of the controversial proposal by Vodacoms local shareholders.
The former Attorney General and infrastructure development minister made no secret of his strong support for plans by the shareholders to sell their stake to foreign investors.
Official government records show Chenge advised the Ministry of Communications, Science and Technology, that there was no ongoing obligation for Vodacom to retain its partial local ownership.
He backed the arguments put forward by the local shareholders suggesting that their minority stake was just a requirement for licensing purposes.
Chenge argued forcefully in favour of the local shareholders that it was supposedly well within their rights to sell their stake in Vodacom to foreign investors, even though the existing regulations clearly state that all telecoms companies in the country shall have at least 35 per cent local ownership.
Before Mirambo Ltd, a locally-registered company, bought the minority stake in Vodacom, local shareholders of the company were listed as Caspian Construction Limited (19 per cent) and Planetel Communications Limited (16 per cent).
Vodacom (Tanzania) Ltd, the largest mobile phone operator in the country with more than 5 million subscribers, was licensed in the year 2000.
Tukipata muda inabidi tuchunguze ubongo wa Chenge kama unafanya kazi sawasawa
Si Chenge pekee, wako wengi hata sisi tunaokaa kimya
Chenge amsaidia Rostam kuhamishia mali nje Habari za uhakikia kabisa ni kwamba Rostam Aziz ameanza kuhamishia mali zake nje ya nchi, sababu anahofia mambo yanavyokwenda serikalini kwa sasa. Kwa ushahidi tayari ameweka rehani hisa zake zote 35pc za Vodacom Afrika Kusini. Kabla ya kuhamishia hisa zake, alikua amenunua hisa za Planetel za mwenzake Peter Noni na mkewe, naye alifanya hivyo kuhofia mambo yanavyokwenda ofisini kwake BoT. Rostam alichukua hisa zote 35pc za Watanzania kupitia kampuni zake za Caspian na Mirambo. Nimethibitisha kwa macho yangu mwenyewe nikiwa bongo kwamba Chenge akiwa Waziri wa miundombinu alimsaidia kwa nguvu zake zote Rostam kufanikisha mkakati wake huo wa kuhamisha hisa zake nje kwa kisingizio cha kuweka rehani. Kuna watu serikalini walipinga (na wanaendelea kupinga) lakini jamaa aliwazidi kete kwa kusadiwa na Chenge na sasa inaelekea amefanikiwa kwa kiasi. Zaidi nitawaletea maana naharakisha kurejea majuu. Nitamwachia Invisible mambo yote ili siku mwafaka amwage hadharani
Mpambano wa uchaguzi 2010 utakuwa kiboko sana manake kila mtu ana chombo chake cha habari kila mtu ana waandishi wake wa habari nimeona pale chuo cha uandishi wa habari vijana wanaandaliwa tu kwa 2010 wao chadema wanakimbilia chuo cha uandishi pale mahakama ya ndizi
Kumbe hakosei anapotamba kwamba yeye ndiye anayeendesha nchi!!!!
Hii kampeni, inarejea tukio la Kihistoria katika kupigania Uhuru wa Tanganyika, wakati huo Baba wa Taifa, Hayati Julius K. Nyerere, alikuwa kipiga kampeni ya watu wasinywe bia, zinazozalishwa na viwanda vya wakoloni, kwamba, "ukinywa bia unakunywa damu yako." Ilikuwa ni hujuma dhidi ya wakoloni.
Sasa kwa hili la Vodacom, hapa Mkoloni ni nani, na je yupo peke yake, na je huko kwenye mitandao mingine hakuna wenye sifa hizi za kikoloni - yaani kuwanyonya damu watanzania hadi wapauke zaidi ya sasa, ukimchunguza kuku hautamla.
Tukiacha hili mtakwenda kwenye mradi wa kutoa maji Ziwa Viktoria, kwenda Shinyanga ambako tender ya kusambaza mabomba ilikuwa ni huyu mwizi akilipwa shilingi milioni nne kwa kila moja lililokuwa likisafirishwa kutoka Dar es Salaam hadi eneo la Ihelele, Misungwi Mwanza kwenye chanzo cha maji cha mradi huu.
Hapa Bwana Mamvi alikuwemo ndani katika mradi (wiziii) huu, sijui kama muungwana kwa wakati huo kama alikuwemo kwenye njama hii. Lakini hapa ndipo uhasama wa Mamvi na mahasimu wake ulipoanza baada ya kuwazika kwenye deal hii, wakiwemo makada maarufu wa CCM.
mamvi akiwa waziri wa maji na Maendeleo ya Mifugo aliwahi hata kushtakiwa kwa Mkapa kutokana na kiu yake ya kushikiza mshiko na kupiga madili, huku kijana wa Kiiran, akiwa kamanda mpanga mipango. Halafu leo eti Siyo fisadi aliwajibika kisiasa.