hivi kumbe ni hostel, madem ndo vinavyotoa hadhi ya chuo?
suala la hostel siyo tatizo la hapo MUCE tu!
suala la kupanga vyumba mbali, hilo ni chaguo lako! kuna vyumba hapo makanyagio, ilala hapo,na wapi paleee ukitoka kwenye hilo geto kubwa mkono wako wa kulia unanyoosha, kuna vyumba kibao, sasa kama wewe unaenda kupanga mtwivila, gangilonga si maamuzi yako?
we endelea kuleta ubishoo, utakapoambiwa Dr.Komba kamaliza kozi ndo utajua kumbe kushinda humu na ku complain kuhusu mademu siyo ishu! hapo MUCE ukomae, pagumu! kuna kamsemo hapo Iringa wanasema "usiwe bishoo kama wanachuo wa Tumaini, na usiwe MGUMU kama mwanachuo wa MUCE ila uwe moderate kama mwanachuo wa RUCO"! hapo pagumu! komaaa!