We bwanamdogo mpumba.U kweli kweli,unafikiri chuo kikuu ni ukubwa wa majengo siyo?
Kama umeshndwa rudi kwenu ukachome mkaa.
Sijui mnapata wapi jeuri hizi watoto wa maskini!
hapa kila kitu cha kugombea.lecture rooms tunabanana sana,hostel ni zile room tangu advance,na hazitoshi watu wanapanga mbali.madem pia wachache sana japo cio lazma.
hamia dodoma university, nasikia miundombinu siyo shida ila uwe tayari kufundishwa na degree holder mwenzako, mademu ni wa kumwaga ila hatari usiende peku vimarekani vimeenea